Je, anayetumia ARVs kupunguza makali ya VVU akipimwa virusi vitaonekana?

Dahhh.....[emoji53] [emoji53]
Pole sana mkuu ndio Dunia ilivyo, hivyo hautokua wakwanza wala wamwisho.
Kikubwa zingatia Mazoezi, Kula vizuri na umrudie Mungu wako.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Madame, naomba usiache kunitag wakimaliza research baada ya hiyo miaka mitano....[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
am not CTC person but in my experience tezi au mtoki inapovimba sehem 2 au zaidi within mwezi mmoja baada ya kufanya ngono with symptoms like fever, headache, flue that is hiv initial stage.
Mkuu, hauna ya kiswahili....[emoji53] [emoji53]
Maana huku tushachanganywa na HIV, mara AIDS stage..... Wewe tena umekuja na CTC, yaani ndio unaukoroga kabisaaaa mimi mkulima wa huku Ushirombo
 
Mkuu, ebu tupe Darsa kuhusu hiyo Stem Cell kwaajili ya kupandisha kinga....[emoji101]
 
Alifanya research ama aliongea tu kwakujenga hoja..!!??
Alafu unaposema "alibarikiwa sana", hiyo baraka alipatiwa na nani?
 
Inapatikana kwa samabazaji (mie mmojawapo) hata hapa Dar ipo, gharama inategemea; kama mtu akinunua tu kwa bei ya rejareja inaweza kwenda mpaka 1.8m, ila kuna namna anaweza kupata dose yote kwa hata chini ya 1m

KWA MAELEZO ZAIDI NJOO PM TU
Mkuu, ebu kwanza toa elimu ya hiyo Steam Cell, kabla haujawaita watu huko MP.
Na pia kama wewe ni muuzaji/msambazaji wa Steam Cell, hauoni kwamba mtu m-bishi kama mimi nitaamini kwamba unaijipigia promo ya bidhaa yako kwasababu tu watu tumekua na hofu ya hili gonjwa....!!??
 
Alifanya research ama aliongea tu kwakujenga hoja..!!??
Alafu unaposema "alibarikiwa sana", hiyo baraka alipatiwa na nani?
Yah, research alifanya mkuu nadhani pitia uzi zake zote utaona jinsi gan katumia sana fact mbalimbali kuelezea, na waliombariki ni wale walioelimishwa elimu hii na wengi sana walitoa ushuhuda kwa jinsi mambo mengi walivyoyaona ....fatilia uzi wake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio tu havionekani, bali vigezo na masharti vikizingatiwa HIV inaisha kabisa!
Ohhhppppssssss....[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Mdomowangu umebaki wazi kabisa[emoji47] [emoji47]
Kumbe chuma kilisha pata dawa, alafu watu tunajibana kwa kujinyima wallah... tehteehhh
 
Ohhhppppssssss....[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Mdomowangu umebaki wazi kabisa[emoji47] [emoji47]
Kumbe chuma kilisha pata dawa, alafu watu tunajibana kwa kujinyima wallah... tehteehhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Oh! Ndio tatizo lenu wabongo![emoji134]
 
kuna hawa jamaa wanazo hizo dawa ambazo ukila virus wanakuwa undetected kabisa. na Pia wana Dawa 99% zinazuia maambukizi kwa anaezitumia,Kwa sasa USA watu wanaandamana hili hawa jamaa Gilead Sciences - Wikipedia washushe Bei! Hawa jamaa pia inasemakana wana mpaka kinga ila wanafanya kuificha ili waendelee kuuza hizi dawa zingine.Kwenye dawa za ARV hawa wana just one Kidonge per Day na aina side efects kama hizi wanazowapa wagonjwa hapa kwetu 3 tab per day.
Mpaka sasa kwenye Dunia ya Utabibu wa Kisayansi ni Mtu mmoja tu ambae alikuwa na Ukimwi na Madaktari wakathibitisha kupona mpaka muda huu ni Timothy Ray Brown zaidi hingia hapa https://www.google.com/search?q=the...rome..69i57.8678j0j8&sourceid=chrome&ie=UTF-8
ila hawa Gilead Sciences - Wikipedia wapo vizuri katika madawa ya HIV AIDS.
last year wameruhusu INDIA,CHINA na South Africa kuzalisha hizi dawa na pia kwa sasa zinapatikana ata hapa TZ japo cjui bei zake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Oh! Ndio tatizo lenu wabongo![emoji134]
Tatizo nini mkuu, minajua asilimia kubwa ya vvu tunapata kwenye uno....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Tatizo nini mkuu, minajua asilimia kubwa ya vvu tunapata kwenye uno....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Tatizo huko kwenye uno kuna mengi zaidi ya VVU.....wee liendekeze tu utajiju[emoji1]
 
am not CTC person but in my experience tezi au mtoki inapovimba sehem 2 au zaidi within mwezi mmoja baada ya kufanya ngono with symptoms like fever, headache, flue that is hiv initial stage.
Are serious???? hii kiboko
 
Tatizo huko kwenye uno kuna mengi zaidi ya VVU.....wee liendekeze tu utajiju[emoji1]
Mkuu, ebu naomba nione "mengi zaidi" kutoka kwako, alafu utanipa maelekezo jinsi ya kutumia mlonge kwa tiba ya umeme
 
Dahhh.....[emoji53] [emoji53]
Pole sana mkuu ndio Dunia ilivyo, hivyo hautokua wakwanza wala wamwisho.
Kikubwa zingatia Mazoezi, Kula vizuri na umrudie Mungu wako.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]
 
Aiseee namm wacha nikazie hapo.

Mtu anayetumia ARVs Vizuri kabisaa maana yake anapunguza Viral load ..hii inamaana gani?? Kuna uwezekano mkubwa wa Mwathirika huyu kutest NEGATIVE ikiwa utampima kwa kutumia HIV Rapid Test !!! .

Lkn hiyo haimanishi hana HIV..ataendelea kua HIV jumlisha.

Sasa kuweni Makin pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…