Je, anayetumia ARVs kupunguza makali ya VVU akipimwa virusi vitaonekana?

Yani milokole ni mijinga mungu ameshatupa maarifa mungu anatenda miujiza kwa mambo yaliyoshindikana ila si kwa magonjwa yanayojulikana
 
Haitopitishwa HIV ni mradi WA kukontrol serikali za kiafrica
 
Huyo déception ni mtu muongo na mpumbavu
 
Yani milokole ni mijinga mungu ameshatupa maarifa mungu anatenda miujiza kwa mambo yaliyoshindikana ila si kwa magonjwa yanayojulikana
Mkuu nadhani
Kile kibarua cha kwenda kufungasha dawa ni kizito sana
Nilikuwa na mtu wa jirani alikuwa anaugua huu ugonjwa wa kisasa (Mola atukinge nao Amiin)
Ilifika hatua akasema kama kufa ngoja nijifie siko tayari kuishi kwa kunywa dawa

Tulimzika 2017 mwezi wa 11
Maskini
 
Mkuu, ebu tupe Darsa kuhusu hiyo Stem Cell kwaajili ya kupandisha kinga....[emoji101]

Hiyo stem cell ni tiba ambayo ikiingia mwili inafanya kazi ya kuzalisha seli mpya kwa wingi zikiwemo seli za kinga yaani CD4, hii inafanya kazi sawa na embyonic stem cell pale mtoto anapokuwa anatengenezwa tumboni au sawa na adult stem cell baada ya mtoto kuzaliwa. kwa hiyo, hata mgonjwa wa kansa kama seli zake zimeharibika hutengenezwa mpya na kansa kuishia hapo, the same applies kwa magonjwa yote ya mifumo ya mwili
 
Haitopitishwa HIV ni mradi WA kukontrol serikali za kiafrica
Inaweza kuchelewa lakini itapita. Wazungu wanegundua kuwa dunia imekuwa kijiji. Mwanzo walifukiri HIV ni tatizo la Africa lakini walisahau kuwa binadamu ni social animals tunaoana na kujamiiana.
Unsinkable walivyouchabgamkia EBOLA 2015 walijua wakizembea itawapigia hodi mlangini kwao.
 
Ebola was political too wazungu wote hawakufa walikufa Africa tu. Tâtizo ni serikali za kiafrica na jamii za kiafrica kutowekeza kwenye research ya mambo yanayowaua we mpaka Leo tunasubiri mzungu ndo atutafutie Kinga ya malaria wakati huo ugonjwa hauwaui hapo ndo utajua Kwanini serikali ya CCM inathamjni mbwa kuliko human being. Sisi waafrica hatujifunzi toka ukoloni kuwa bila research and advancement ya technology tutatawaliwa milele
 
Nilisoma article mmoja kumbe Ulaya walikuwa na malaria pia zamani lichabya baridi. Waliwezabjuitikomeza kwa kujenga nyumba bora na kuharibu mazalia ya mbu.
 
Hayo ni kweli kabisa, vinafubaa na havina madhara kwako
Swali muhimu la kujiuliza ni kuwa je hivi virusi vitakuwa vimefubaa kwa muda gani?

Disease progression tukumbuke ipo tuu. Unawezaje ku-monitor hapo juu. Kwangu naona bado risk ipo......
 
Swali muhimu la kujiuliza ni kuwa je hivi virusi vitakuwa vimefubaa kwa muda gani?

Disease progression tukumbuke ipo tuu. Unawezaje ku-monitor hapo juu. Kwangu naona bado risk ipo......
Technology inaendelea na dawa itapatikana, bila ARV’s waathirika hawatakuwa na matumaini na watakufa.
 
Cric hyo link jamaa anasema yye anatib HIV kwa kutumia 3drops
 
Mtu huyu utamkuta positive yes ila akienda kufanya viral load itakuwa not detected kwasababu ya matumizi sahihi ya dose ya arv
 
Hili gonjwa bado ni tishio japo jitihada za kisayansi zimeanza kuonyesha matumaini ya kulitokomeza.
 
Hili gonjwa bado ni tishio japo jitihada za kisayansi zimeanza kuonyesha matumaini ya kulitokomeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…