Je, andiko hili la kiislamu kwa Wayahudi linawezekana kuwa sababu za chuki hizi?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna hili andiko la kiislamu linaloonekana kuamrisha Wayahudi wachinjwe hadi ambao watakuwa wamejificha nyuma ya mawe, je inawezekana kuwa sababu za hizi chuki?

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
حَدَّثَنَا أَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، حَدَّثَنَا أَبُو أُسَامَةَ، أَخْبَرَنِي عُمَرُ بْنُ حَمْزَةَ، قَالَ سَمِعْتُ
سَالِمًا، يَقُولُ أَخْبَرَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ عُمَرَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "
تَقْتَتِلُونَ أَنْتُمْ وَيَهُودُ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ وَرَائِي تَعَالَ فَاقْتُلْهُ ‏"‏ ‏.

Sunnah.com
 
Dini au utamaduni unaofundisha wafuasi na waamini wake chuki,hasira,uhuni,uuaji,uonevu,kutovumiliana,kutosamehe, ubaguzi,kuweka watu kwa madaraja hadi watumwa,ubakaji,upendeleo,kujitenga na ghasia nyingine ni ya kutupiliwa mbali yenyewe na takataka zake zote mara moja bila huruma,kusitasita na kugeuka nyuma.
 
Nakushauri fuatilia mafundisho ya uislam kwa mtazamo chanya na kwa watu sahihi utapata amani ya moyo utaacha kuchukia uislam utaona ni dini tu ambayo watu wanaiheshim na kuna watu wanailewa vibaya
 
Utetezi wenu ni wa aina moja lakini tukifika kwenye matendo yenu ndiyo yanaakisi ukweli wenyewe.
 
Kuna hili andiko la kiislamu linaloonekana kuamrisha Wayahudi wachinjwe hadi ambao watakua wamejificha nyuma ya mawe, je inawezekana kuwa sababu za hizi chuki?

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
حَدَّثَنَا أَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، حَدَّثَنَا أَبُو أُسَامَةَ، أَخْبَرَنِي عُمَرُ بْنُ حَمْزَةَ، قَالَ سَمِعْتُ
سَالِمًا، يَقُولُ أَخْبَرَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ عُمَرَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "
تَقْتَتِلُونَ أَنْتُمْ وَيَهُودُ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ وَرَائِي تَعَالَ فَاقْتُلْهُ ‏"‏ ‏.
Hivi bado mpo serious na hizi dini
 
Imani za kidini ni shambulio la akili
 
Nakushauri fuatilia mafundisho ya uislam kwa mtazamo chanya na kwa watu sahihi utapata amani ya moyo utaacha kuchukia uislam utaona ni dini tu ambayo watu wanaiheshim na kuna watu wanailewa vibaya

Binafsi nilikua sifuatilii mambo yenu, nilijua nyie ni kama dini zingine, ila vituko vyenu vikazidi kuwa vingi, mauaji kila sehemu, mnachinja na kujilipua mabomu, ndio nikaanza kujua lazima maandiko yanawaamrisha huo uzombi, haiwezekani mtu kwa akili yake anateka basi la abiria anaanza kuchinja wasio waislamu.
Ni vigumu sana kutazama uislamu kwa mtazamo chanya huku mnaendelea kuua watu mkizingatia maandiko yenu yapo dhahiri kabisa.
Hebu soma hili tukio mlilolifanya la kuchinja abiria kisa walishindwa kujibu maswali yenu ya kidini Bus passengers massacred

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Nimetoka ibada muda huu(mimi Mkatoliki)kwenye nia za misa kulikuwa na ombi maalumu tuwaombee kwa Mungu Wapalestina na waisrael ili vita iishe amani irudi ktk nchi zao,imani nzuri na ya kweli ni pamoja na kutambua changamoto za wengine na kuwaombea.

Na kabla ya ibada kuisha tukasimama tukasali sala ya Baba yetu moja,na Salamu Maria moja kwa ajili ya amani ya hawa watu,tumeaswa kwa imani zetu tukumbuke Mungu hakutuweka makundi makundi ili tutengane duniani bali tuishi kwa umoja tukihimizana njia za kumfuata na kumtii yeye.
 
Binafsi nilikua sifuatilii mambo yenu, nilijua nyie ni kama dini zingine, ila vituko vyenu vikazidi kuwa vingi, mauaji kila sehemu, mnachinja na kujilipua mabomu, ndio nikaanza kujua lazima maandiko yanawaamrisha huo uzombi, haiwezekani mtu kwa akili yake anateka basi la abiria anaanza kuchinja wasio waislamu.
Ni vigumu sana kutazama uislamu kwa mtazamo chanya huku mnaendelea kuua watu mkizingatia maandiko yenu yapo dhahiri kabisa.
Hebu soma hili tukio mlilolifanya la kuchinja abiria kisa walishindwa kujibu maswali yenu ya kidini Bus passengers massacred

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Inatisha mambo gani haya!!!

Hii ilikuwa ktk ule mlolongo wa vitendo vya kueneza dini hapo Kenya wakati ule wa West Gate kama sikosei.
 
Dini au utamaduni unaofundisha wafuasi na waamini wake chuki,hasira,uhuni,uuaji,uonevu,kutovumiliana,kutosamehe, ubaguzi,kuweka watu kwa madaraja hadi watumwa,ubakaji,upendeleo,kujitenga na ghasia nyingine ni ya kutupiliwa mbali yenyewe na takataka zake zote mara moja bila huruma,kusitasita na kugeuka nyuma.

Kuna namna dunia inabidi ifanye jambo kukabiliana na dini zenye mafundisho ya aina hii hasa uislamu,mbona imani nyingine hazina huu upuuzi.
 
Dini au utamaduni unaofundisha wafuasi na waamini wake chuki,hasira,uhuni,uuaji,uonevu,kutovumiliana,kutosamehe, ubaguzi,kuweka watu kwa madaraja hadi watumwa,ubakaji,upendeleo,kujitenga na ghasia nyingine ni ya kutupiliwa mbali yenyewe na takataka zake zote mara moja bila huruma,kusitasita na kugeuka nyuma.
Lakini cha kushangaza asilimia 80 ya mauaji ambayo yamefanyika hapa duniani yamefanywa na wanao jiita wakristo tena mpaka na kanisa likiwa na mkono wa moja kwa moja mfano mauaji ya kimbari nchini Rwanda.

Alafu kingine wakristo ndo wenye chuki na wayahudi kwa sababu ndo wahusika wakuu wa mauaji ya maangamizi dhidi ya wayahudi kabla ya mwaka 1947 .
 
Nakushauri fuatilia mafundisho ya uislam kwa mtazamo chanya na kwa watu sahihi utapata amani ya moyo utaacha kuchukia uislam utaona ni dini tu ambayo watu wanaiheshim na kuna watu wanailewa vibaya

Matendo ndio husema zaidi ya maneno.
 
Lakini cha kushangaza wakristo ndo wahusika wakuu wa mauaji ya kikatili ya wayahudi.
 
Nakushauri fuatilia mafundisho ya uislam kwa mtazamo chanya na kwa watu sahihi utapata amani ya moyo utaacha kuchukia uislam utaona ni dini tu ambayo watu wanaiheshim na kuna watu wanailewa vibaya

There are, of course, other verses that call Muslims to lead a peaceable life, but the underlying theme in the Quran is that there never can be true peace until everything is submitted to Allah. Thus violence to that end is justified.

Huo ndio uislamu.
 
Nimetoka ibada muda huu(mimi Mkatoliki)kwenye nia za misa kulikuwa na ombi tuwaombee kwa Mungu Wapalestina na waisrael ili vita iishe amani irudi ktk nchi zao

Na kabla ya ibada kuisha tukasimama tukasali sala ya Baba yetu moja,na Salamu Maria moja kwa ajili ya amani ya hawa watu,tumeaswa kwa imani zetu tukumbuke Mungu hakutuweka makundi makundi ili tutengane duniani bali tuishi kwa umoja tukihimizana njia za kumfuata na kumtii yeye.

Kristu
 
Kuna dogo huku kitaa sasa hv amekuwa kama chizi kwa ajili ya Uislamu, akipita njiani anapiga kelele za ajabu na kutoa sauti ngumu yenye kishindo kama wenzake wanavyoimba kwenye nyimbo zao.

Dini zote n majanga ila Uislamu ndo upumbavu zaidi
 
Kuna hili andiko la kiislamu linaloonekana kuamrisha Wayahudi wachinjwe hadi ambao watakua wamejificha nyuma ya mawe, je inawezekana kuwa sababu za hizi chuki?

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
حَدَّثَنَا أَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، حَدَّثَنَا أَبُو أُسَامَةَ، أَخْبَرَنِي عُمَرُ بْنُ حَمْزَةَ، قَالَ سَمِعْتُ
سَالِمًا، يَقُولُ أَخْبَرَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ عُمَرَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "
تَقْتَتِلُونَ أَنْتُمْ وَيَهُودُ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ وَرَائِي تَعَالَ فَاقْتُلْهُ ‏"‏ ‏.
Hata Mungu wao Amewaagiza adui yao mkubwa Sio shetani ila ni myahudi!
[emoji116][emoji116]
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
 
Back
Top Bottom