Je, ataweza kufanya kazi kweli? Aliyeajiriwa ameanza na Tgs C huku yeye akiwa na Tgs B. Na wote wanadiploma

Je, ataweza kufanya kazi kweli? Aliyeajiriwa ameanza na Tgs C huku yeye akiwa na Tgs B. Na wote wanadiploma

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Umeme umekatika na baada ya mshahara kuingia ameniamsha na kuanza kuwaza tu

Mbona ajira mpya wanashahara mkubwa kuliko yeye?
 
Vipi Kiongozi issue Nini ...mshahara kuingia au mwajiriwa Mpya?! Hebu tulia uandike vizuri?!
 
Back
Top Bottom