Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

That's my little face on the Avatar!

Muda wa kuishi maisha yangu halisi nahisi kama haunitoshi, so i got no time for drama!

Cheers for the weekend!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Mr. Romantic niazime macho yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ndege joni anafanya kazi ya kusafisha mnapofikiria ni pachafu. Mizoga na masalia mengine yote... japo wengi huchukulia ni mchafu lakini anasaidia kuondoa uchafu na harufu mbaya katika mazingira
 
Na kiongozi bora haogopi kuwa ndege joni. Unabeba lawama za mizoga na uchafu wa kila aina kwa maslahi ya wengi... ila inakuwa kama ndo sifa yako
 
Back
Top Bottom