dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,454
- 1,679
Basi baba yako alikuwa handsome balaaa..Nikigeuka utanikimbia ujue nina sura ya baba angu
Basi baba yako alikuwa handsome balaaa..Nikigeuka utanikimbia ujue nina sura ya baba angu
Hongera ...mtu lazima kujikubali[emoji122] [emoji122]Hiyo avatar ni mimi mwenyewe...nimejificha sura maana naona aibu sana.
Hapo nilikuwa bar Arusha napata moja moto moja baridi.
Najikubali...ndio maana nimejiweka
Fungua pm basi babeeNimejiweka mwenyewe
Jombiiiiiiiiii muwakilishi wa Kaya jf....Avatar yangu ni weed a.k.a Bangi ...
Hiyo ni kitu naipenda sana hapa duniani baada ya Mama inafata weed .
NB:Mimi sio muhuni ila bangi navuta .
Wa kwanza ni nani?Huyo kwa avatar ni Shahrukh Khan, king of bollywood. Huwa ananinspire sana. Ukifuatilia story yake alianza chin kabisa bila kubebwa. Juhudi na nidham ndio zimemfanya kuwa muigizaj wa pili kwa utajiri duniani.
Naamin kwenye kila mafanikio kuna siri nyuma yake, siri ya wengi ni juhudi na nidham kwa kile unacho kifanya.
Wa kwanza ni nani?
Avatar ni nini?[emoji22][emoji22][emoji22]
Man like Nikola Tesla.Mvumbuzi muhimu zaidi wa zama zetu asiyepewa heshima inayostahili,alitakiwa afundishwe mashuleni na vyuoni badala yake tunafundishwa zaidi kuhusu wahuni kama hitler,darwin ma wengineoHuyo kwenye i.d
Ni solver nguli
Ambaye hakuwa na demu
You gotch ma point
Kweli kiswahili unakifahamu.Huyo kwa avatar yangu ni Shaaban Robert, Baba wa kiswahili. Napenda kiswahili lugha poa sana ndio lugha yangu ya kwanza kuijua(fikra halisi huja kwa lugha asili), sipendi zile " xawa, tantee, jomoni, vepe, na zingine kama izo" Hua namuona fala sana anae andika au kuongea ivo
sema kidogoMe sisemi sana...kila kitu kinajieleza..teh teh
aah cheupeNimejiweka mwenyewe