Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

Hoja yako ni ipi?
 
Kweli kuna kundi linaumia awamu ya sita
 
Pumbaf
 
Reactions: Qwy
labda chini kwa chini huko underground
Mwambie mtoto wako shujaa wa africa ni mmoja tuu alitokea Tanzania mpaka baraza la umoja wa mataifa kuket kuheshimu uongozi wake uliotukuka wazungu sio wapumbavu kama wewe na watu wa aina yako
 
Wacha akili za kilevi kuulinganisha upinzani na jiwe
 
CCM ni ile ile lini ccm ikawa na mwelekeo sahihi wa nchi?
 
AWAMU YA 5 ILIPOANZA ULIULIZA SWALI HILI KUHUSIANA NA AWAMU YA 4...
 
Wewe hutaki?
 
Wacha akili za kilevi kuulinganisha upinzani na jiwe
Hujanielewa mkuu its their time upinzani kuchukua nchi mimi ni timu magufuli damu sioni kipya kwa hii lady ya sasa
 
Umeongea kinyume! Awamu ya tano labda ndiyo iliyokuwa kurekebisha hadi wakapitiliza na kupelekea udikteta.
 
Msingi wa ulinganifu huo ni nini? Tofauti yako na unayemtolea povu mbona siioni! Probably you are worse scenario!
 
Awamu ya sita pamoja na malengo walioyapanga kuyafikia na kazi walizopanga kutekeleza ila moja wapo ni kuivua nguo awamu ya tano. Kisha wataivua ngozi awamu ya tano. Baadae watatenganisha nyama sa mwili na mifupa. Kisha kila kipande cha mfupa kitaondolewa kwenye kiunzi cha mwili na kitawekwa kivyake. Asee awamu ya 5 imevuliwa nguo sharti ichutame.
Chawa kama chawa wa awamu ya tano nawaona tuu mlivyowakiwa kama wana UKAWA walivyoachwa na LOWASA kipindi kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…