beny jr
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 849
- 1,168
Sijawahi kuwa against na ccm kama sasa huyu mzanzibari hata sijui anaipeleka wapi nchiNdo utumbo uliofikiria kuandika.. Ccm mnatesekaje..[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuwa against na ccm kama sasa huyu mzanzibari hata sijui anaipeleka wapi nchiNdo utumbo uliofikiria kuandika.. Ccm mnatesekaje..[emoji23][emoji23]
Sijawahi kushiriki ushetaniYes ukiwepo moyo wako mkuu najua ukikaa peke yako unashukuru maisha ya jpm kwa siri lakini amini nakwambia yote yanayofanyika sirini yatajulikana siku moja
Na nduguyo sabaya ataozea jelaSauti ya magufuli itasikika mpaka oldonyo lengai bro hawezi kushinda 2025
Tulia tuu utaelewa maana mlipotezwa njia sasa mnarudishwa njia kuu hamuelewi kitu.Sijawahi kuwa against na ccm kama sasa huyu mzanzibari hata sijui anaipeleka wapi nchi
Bado saa hii wana hela walizokua wanajichotea tu hazina,,zikipungua ndo wataanza kutia akiliTulia tuu utaelewa maana mlipotezwa njia sasa mnarudishwa njia kuu hamuelewi kitu.
Mimi nimelinganisha nini ?
Anyway. Sina energy ya kubishana leo.Basi vidole vyako vimeandika bila consultation ya ubongo na akili mkuu, pole! Next time vitie discipline!
Awamu ya sita HAIPO. Ni ulaghai.Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.
Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita.
Ukitazama safu ya uongozi katika awamu ya sita na tano haitofautiani sana.
Je, awamu ya sita inajificha nyuma ya kivuli Cha awamu ya Tano?
Je, ni rahisi Kwa awamu ya sita kubakia na clean file?
Je, ni lini hasa tutaona awamu ya sita ikifanya mambo yake bila kuyagusa yale ya awamu iliyopita? Inawezekana?
Je, ni lazima kwamba Kila jambo la awamu ya Tano libadiliashwe?
Je, Kila jambo lililofanyika awamu ya Tano lilikuwa baya?
Naamini awamu ya Saba ikifika yatashuhudiwa mengi ya awamu ya sita kama tulivyoona awamu ya tano Kwa ya sita.
Upanga ule ule unaotumika awamu ya SITA kuichinja awamu ya tano, unawezekana kutumika awamu ya Saba kuichinja awamu ya SITA.
Hata kibiashara, lazima urekebishe makosa ndiyo ufanisi utakuja. Makosa yasiporekebishwa hatutaenda mbele!!! Tena watu waliumizwa sana lazima wafutwe machozi!!!!Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.
Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita.
Ukitazama safu ya uongozi katika awamu ya sita na tano haitofautiani sana.
Je, awamu ya sita inajificha nyuma ya kivuli Cha awamu ya Tano?
Je, ni rahisi Kwa awamu ya sita kubakia na clean file?
Je, ni lini hasa tutaona awamu ya sita ikifanya mambo yake bila kuyagusa yale ya awamu iliyopita? Inawezekana?
Je, ni lazima kwamba Kila jambo la awamu ya Tano libadiliashwe?
Je, Kila jambo lililofanyika awamu ya Tano lilikuwa baya?
Naamini awamu ya Saba ikifika yatashuhudiwa mengi ya awamu ya sita kama tulivyoona awamu ya tano Kwa ya sita.
Upanga ule ule unaotumika awamu ya SITA kuichinja awamu ya tano, unawezekana kutumika awamu ya Saba kuichinja awamu ya SITA.
Pumba tupuYani katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama CCM wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulification hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi Watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye covid19 legacy aliyoacha hayati baba wa taifawa pili(magufuli JPM) ni kubwa mnoo angalia anavyosimangwa kwa kudanganya tanzania ina corona leo watu hawamuelewi anatakiwa alipe mishahara ya mwezi huuasituletee mambo ya ajabu kiufupi akina zitto wanamuangalia tuu wakianza kutupa mabomu msianze kusema kwakua ni mwanamke.
Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.
Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita.
Ukitazama safu ya uongozi katika awamu ya sita na tano haitofautiani sana.
Je, awamu ya sita inajificha nyuma ya kivuli Cha awamu ya Tano?
Je, ni rahisi Kwa awamu ya sita kubakia na clean file?
Je, ni lini hasa tutaona awamu ya sita ikifanya mambo yake bila kuyagusa yale ya awamu iliyopita? Inawezekana?
Je, ni lazima kwamba Kila jambo la awamu ya Tano libadiliashwe?
Je, Kila jambo lililofanyika awamu ya Tano lilikuwa baya?
Naamini awamu ya Saba ikifika yatashuhudiwa mengi ya awamu ya sita kama tulivyoona awamu ya tano Kwa ya sita.
Upanga ule ule unaotumika awamu ya SITA kuichinja awamu ya tano, unawezekana kutumika awamu ya Saba kuichinja awamu ya SITA.
Kumbe tanzania hakuna Corona afu bi mkubwa anasema ipo ..aisee bi mkubwa siyo mzalendo hata kidogo ila magufuli alikiwa jembe kwerikweri ....au nasema uongo ndugu yangu ..msema kweri ni mpenzi wa mungu na razima ukweri usemweYani katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama CCM wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulification hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi Watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye covid19 legacy aliyoacha hayati baba wa taifawa pili(magufuli JPM) ni kubwa mnoo angalia anavyosimangwa kwa kudanganya tanzania ina corona leo watu hawamuelewi anatakiwa alipe mishahara ya mwezi huuasituletee mambo ya ajabu kiufupi akina zitto wanamuangalia tuu wakianza kutupa mabomu msianze kusema kwakua ni mwanamke.
Yani katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama CCM wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulification hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi Watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye covid19 legacy aliyoacha hayati baba wa taifawa pili(magufuli JPM) ni kubwa mnoo angalia anavyosimangwa kwa kudanganya tanzania ina corona leo watu hawamuelewi anatakiwa alipe mishahara ya mwezi huuasituletee mambo ya ajabu kiufupi akina zitto wanamuangalia tuu wakianza kutupa mabomu msianze kusema kwakua ni mwanamke.
Hata awamu ya tano ilitumika kuchinja awamu ya nne tena awamu ya nne ilidhihakiwa sana utafikiri hakuna kizuri kilichofanyikaUelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.
Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita.
Ukitazama safu ya uongozi katika awamu ya sita na tano haitofautiani sana.
Je, awamu ya sita inajificha nyuma ya kivuli Cha awamu ya Tano?
Je, ni rahisi Kwa awamu ya sita kubakia na clean file?
Je, ni lini hasa tutaona awamu ya sita ikifanya mambo yake bila kuyagusa yale ya awamu iliyopita? Inawezekana?
Je, ni lazima kwamba Kila jambo la awamu ya Tano libadiliashwe?
Je, Kila jambo lililofanyika awamu ya Tano lilikuwa baya?
Naamini awamu ya Saba ikifika yatashuhudiwa mengi ya awamu ya sita kama tulivyoona awamu ya tano Kwa ya sita.
Upanga ule ule unaotumika awamu ya SITA kuichinja awamu ya tano, unawezekana kutumika awamu ya Saba kuichinja awamu ya SITA.
Mwambie mtoto wako shujaa wa africa ni mmoja tuu alitokea Tanzania mpaka baraza la umoja wa mataifa kuket kuheshimu uongozi wake uliotukuka wazungu sio wapumbavu kama wewe na watu wa aina yako
Siyo kurekebisha makosa ya awamu ya tano tu bali kurejesha taswira Na haiba ya nchi iliyochafuliwa na jiweUelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.