Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

Inasikitisha na kutia aibu sana kuona baadhi ya watu kama nyinyi mnaongozwa na fikra za kibeberu na kukosa akili hata kidogo.Hii ni karne ya 21 bado watu kama nyie mnasikiliza na kuongozwa na fikra za kibeberu ?! Huna akili japo kidogo tu ya kukuwezesha kufikiria njia zako mbadala ya kutatua matatizo yako mpaka usubiri maelekezo kutoka kwa mabeberu??
 


Nimeshaiona chuki yenu dhidi ya Mama, nakukumbuka kama mtu ambae ulikuwa unaitetea hiyo awamu ya Magufuli iwe imefanya vizuri au vibaya
 
Awamu iliyochukua muda mfupi kuliko awamu zote (Miaka mitano na nusu tu!) Lakini imefanya mambo makubwa kuliko awamu zingine zote [emoji16][emoji16][emoji16]JPM was the man aise [emoji119]View attachment 1829500
Hapo kwenye afya achana napo kabisa mkuu,sasa hivi hospitali za serikali hazina dawa KABISA, vipimo tunalipa cash kwa bei sawa na hospitali binafsi,hospitali binafsi hatulipi 12,000 za kufungua file kama hosp za serikali,hiyo 12,000 kwenye hospitali binafsi inatosha gharama zote za matibabu kwa magonjwa madogo madogo,hospitali za serikali zimegeuka gulio siku hizi mkuu,tbc isikudanganye
 
Kama awamu ya tano ilivyokua inajiona iko kwa ajili ya kurekebisha makosa ya watangulizi.
 
Hayo ni mambo ya awamu ya 6 mkuu! Hayakuwepo kabisa wakati wa awamu ya 5.Ila kiujumla huduma nyingi za afya ambazo ilikuwa uende India zimeletwa hapa hapa nyumbani katika awamu ya 5.
 
sgr ni mkopo kumbe?nilijua ni pesa zetu za ndani kwa hiyo kikwete aalitumwa china kupiga magoti,aiseeee
 
Mafuta ya taa yakimwagwa kwenye shimo lazima nyoka watoke kama hivi
 
Mwambie mtoto wako shujaa wa africa ni mmoja tuu alitokea Tanzania mpaka baraza la umoja wa mataifa kuket kuheshimu uongozi wake uliotukuka wazungu sio wapumbavu kama wewe na watu wa aina yako
Ni utaratibu wa kawaida UN kumuenzi raisi aliyefia madarakani shida hakuwahi kanyaga huko angekujuza.
 
Safi sana kama yapo yaliyokosewa na yanahitaji kurekebishwa yarekebishwe yote huu ndiyo ustaarabu wa kila mtu mstaarabu huwezi kukaa mahali penye kasoro bila kurekebisha hongera sana awamu ya mlezi
 
Sawa,,lakini hivi sisi wasukuma tulikosea wapi?au hatuna talent ya uongozi nini?
Ni wengi sawa hilo halina ubishi,
Wengi mna elimu za kati sawa
Mliingizwa mkenge kumkubali bwana yule kama kabila yenu kawaangusha sana si kidogo
Sidhani kama mnaweza kupewa dhamana nyingine ya juu
Bakini na kazi yenu ya asili ya kuchunga wanyama na kilimo cha vijaruba.Biashara imeisha.
 
Hicho ni kitu cha kawaida. Ndio maana awamu ya 5 miaka yake ya mwanzoni iliinanga sana awamu ya 4. Yaani ilikomaa kuonesha madhaifu ya awamu hasa ya 4. Kumbuka kauli za tumepigwa sana na nyingine nyingi. So, usipagawe kila kiongozi ana dira yake. Mama yupo kustawisha jamii ya watu anaowaongoza na si kupambana na watu wake. Haki huinua taifa.
 
Wewe ni mpumbavu hasa wa kuvuka kiwango, na wala siyo mjinga tu kama nilivyokufikiria hapo mwanzo.

Hayo uliyoandika hapo juu unajiona unayo akili timamu wewe? "Mabeberu" ni kitu gani, unadhani ukitaja neno 'mabeberu' tukutambue wewe kwamba unajuwa lolote, huku hakuna unachojua?

Sasa ukilia na mabeberu, wewe unayewaabudu, unataka na sisi tulio na uelewa wa mambo ya dunia ya leo tufanyeje, tukuunge mkono juha kama wewe?

Nyinyi watu sijui mmetokea wapi na akili zenu mbovu kiasi hiki!

Kama una lolote la maana unalojuwa liweke hapa tulijadili, vinginevyo usinipotezee muda na upuuzi wa namna hiyo hapo juu.

"Huna akili japo kidogo tu ya kukuwezesha kufikiria njia zako mbadala ya kutatua matatizo yako mpaka usubiri maelekezo kutoka kwa mabeberu"?

Mstari huu hapa unakuonyesha jinsi ulivyo mtupu kabisa kichwani.
 

Siyo bure una mawazo finyu sijpata kuona
 
Itoshe tu kusema wewe ni Mpumbavu wa kiwango cha SGR! Uwepo wako ni hasara kwa taifa
 
Taja hayo mambo ya hovyo ya awamu ya tano
Uuaji, utekaji, dhulma, mashambulizi ya silaha kwa wanasiasa wa upinzani, kuteua majambazi ili wanyanyase wananchi, kubaka demokrasia, ukabila, kuipendelea Chato, miili kuokotwa kwenye viroba huku serikali ikifumbia macho. The list is endless.
 
Wewe jamaa unasema nini..nyie sindiyo mlikuwa mnasifu na kuunga juhudi mkono.

Mlijitoa ufahamu kusifu hata mambo ya hovyo yaliyokuwa yakifanyika.

Acheni porojo zenu hakika hakuna jiwe litakalo salia ,watu wameumizwa sana katika hiyo awamu ya Mwendazake.
 

Hakuna mtu anataka kutawaliwa na kiongozi muovu, legacy aliyoacha ni ya utekaji. Magu alikuwa kiongozi dhalimu na muovu kupata kutokea. Kipindi cha kutawaliwa kwa propaganda kimepita, we nenda kale zile za watu aliokuagiza uwateke na kuwaua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…