Je, baadhi ya kazi zinafanya mtu apoteze utu?

Je, baadhi ya kazi zinafanya mtu apoteze utu?

Nikuwa muungwana. Nikamueleza vizuri tu kwamba nina safari ndefu. Nitalipa nikifika nyumbani. Aligoma kabisa.
Nimeandika hivi sababu kwanza inaonekana bado una muda kisheria kulipa deni,sijajua kwanini akuwie mkali wakati haki bado iko upande wako ndio sababu nikasema huwenda hakukua na mawasiliano mazuri kati yenu.
 
Apo ungempa buku 2 angekuacha...hapo alikuwa anapima kama ungesema huna angekwambia toa ya maji....
Umelipa ameumia sana..
 
Back
Top Bottom