mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 May 25, 2024 #21 Otorong'ong'o said: This is bullshit Click to expand... Sawa,utakuja kutoa ushuhuda hapa kwamba polisi wana roho mbaya.
Otorong'ong'o said: This is bullshit Click to expand... Sawa,utakuja kutoa ushuhuda hapa kwamba polisi wana roho mbaya.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 May 25, 2024 #22 PHILE1879 said: Nikuwa muungwana. Nikamueleza vizuri tu kwamba nina safari ndefu. Nitalipa nikifika nyumbani. Aligoma kabisa. Click to expand... Nimeandika hivi sababu kwanza inaonekana bado una muda kisheria kulipa deni,sijajua kwanini akuwie mkali wakati haki bado iko upande wako ndio sababu nikasema huwenda hakukua na mawasiliano mazuri kati yenu.
PHILE1879 said: Nikuwa muungwana. Nikamueleza vizuri tu kwamba nina safari ndefu. Nitalipa nikifika nyumbani. Aligoma kabisa. Click to expand... Nimeandika hivi sababu kwanza inaonekana bado una muda kisheria kulipa deni,sijajua kwanini akuwie mkali wakati haki bado iko upande wako ndio sababu nikasema huwenda hakukua na mawasiliano mazuri kati yenu.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 May 25, 2024 #23 Apo ungempa buku 2 angekuacha...hapo alikuwa anapima kama ungesema huna angekwambia toa ya maji.... Umelipa ameumia sana..
Apo ungempa buku 2 angekuacha...hapo alikuwa anapima kama ungesema huna angekwambia toa ya maji.... Umelipa ameumia sana..