Je, Babu yetu wa Bunda, anahujumu harakati za chama?

Je, Babu yetu wa Bunda, anahujumu harakati za chama?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Habari makomredi wenzangu!

Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani.

Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile.

Sasa kuna msemo usemao, jasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake Ili kusaidia upinzani, maana askari kurudi nyuma wakati wa mapambano yamekolea SI sawa, msisitizo hapa ni "Yaweza kuwa au tetesi".

Lakini pia ikiwa Babu yetu ni mgongwa, ni vyema tukajulishwa wajukuu zake tumwombee afya njema, maana ugonjwa SI kitu Cha kuficha, tupeni taarifa.

Swali: Je Mzee wetu wa Bunda anakihujumu chama kwa kupotea ghafula majukwaani?

Karibuni 🙏
 
Habari makomredi wenzangu!

Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani.

Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile.

Sasa kuna msemo usemao, ujasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake Ili kusaidia upinzani, maana askari kurudi nyuma wakati wa mapambano yamekolea SI sawa, msisitizo ni "Yaweza kuwa au tetesi".

Lakini pia ikiwa Babu yetu ni mgongwa, ni vyema tukajulishwa wajukuu zake, maana ugonjwa SI kitu Cha kuficha, tupeni taarifa.

Swali: Je Mzee wetu wa Bunda anakihujumu chama kwa kupotea ghafula majukwaani?

Karibuni 🙏
Unamzungumzia NAREHEMU WASIRA ?
 
Mzee amekuwa akitwambia wamejenga hospitali za kisiasa nchi nzima,

Kamwe hawezi kubaki akatibiwe nje!
Wahenga walisema
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, kinyume chake chaweza jidhihirisha
 
Back
Top Bottom