Je, Babu yetu wa Bunda, anahujumu harakati za chama?

Je, Babu yetu wa Bunda, anahujumu harakati za chama?

Habari makomredi wenzangu!

Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani.

Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile.

Sasa kuna msemo usemao, ujasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake Ili kusaidia upinzani, maana askari kurudi nyuma wakati wa mapambano yamekolea SI sawa, msisitizo ni "Yaweza kuwa au tetesi".

Lakini pia ikiwa Babu yetu ni mgongwa, ni vyema tukajulishwa wajukuu zake, maana ugonjwa SI kitu Cha kuficha, tupeni taarifa.

Swali: Je Mzee wetu wa Bunda anakihujumu chama kwa kupotea ghafula majukwaani?

Karibuni 🙏
acha hizo
 
Hapana yuko uingereza mkuu afya yake siyo mzuri

Sio vema kudhihaki wanaougua. Maisha yetu chini ya jua ni yale yale. Wote tutakwenda zetu. Ni suala la muda tu. Hakuna madaraka wala dola yenye nguvu kuzidi kifo.
 
Sio vema kudhihaki wanaougua. Maisha yetu chini ya jua ni yale yale. Wote tutakwenda zetu. Ni suala la muda tu. Hakuna madaraka wala dola yenye nguvu kuzidi kifo.
Mkuu mbona unanionea aise ni kipi kibaya hapo nimeongea?... kutoa taarifa ya kuwa afya yake sio nzuri hivyo yupo uingereza kwa matibabu napo ni kumdhihaki mtu?

Afya ya akili imekua tatizo kubwa sana kwa waTanzania hivi sasa.
 
Back
Top Bottom