Mtafuteni kwanza MboweKwako Mzee Mgaya, johnthebaptist
Yule damu yake ni Upinzani,Israel aache uzembe.
Mbowe tunajua aliko,Mtafuteni kwanza Mbowe
Unamzungumzia NAREHEMU WASIRA ?Habari makomredi wenzangu!
Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani.
Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile.
Sasa kuna msemo usemao, ujasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake Ili kusaidia upinzani, maana askari kurudi nyuma wakati wa mapambano yamekolea SI sawa, msisitizo ni "Yaweza kuwa au tetesi".
Lakini pia ikiwa Babu yetu ni mgongwa, ni vyema tukajulishwa wajukuu zake, maana ugonjwa SI kitu Cha kuficha, tupeni taarifa.
Swali: Je Mzee wetu wa Bunda anakihujumu chama kwa kupotea ghafula majukwaani?
Karibuni 🙏
Dingi yuko Apollo Hospital India, mapafu yamejaa majiMbowe tunajua aliko,
Tuambieni aliko Babu yetu, maana utekaji umetamalaki nw isijekuwa mshamteka!
Kwann tusijulishwe wajukuu?Dingi yuko Apollo Hospital India, mapafu yamejaa maji
Mshaanza!Unamzungumzia NAREHEMU WASIRA ?
Hapana yuko uingereza mkuu afya yake siyo mzuriDingi yuko Apollo Hospital India, mapafu yamejaa maji
Huyo mbona ni marehemu kitambo tu kama miaka 4 iliyo pita tayari alikuwa marehemuMshaanza!
Mwingine Apolo, mwingine Uingereza,Hapana yuko uingereza mkuu afya yake siyo mzuri
Kuna watu wana dawa za asili wanaweza kutibu vizuri tu kuliko hospitaliLakini ugonjwa SI kitu Cha kuficha, tupeni taarifa.
Nani kakwambia ni mgonjwa?Kuna watu wana dawa za asili wanaweza kutibu vizuri tu kuliko hospitali
Wahenga walisemaMzee amekuwa akitwambia wamejenga hospitali za kisiasa nchi nzima,
Kamwe hawezi kubaki akatibiwe nje!
Nimenukuu mstari soma vizuriNani kakwambia ni mgonjwa?