Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,624
- 1,937
acha hizoHabari makomredi wenzangu!
Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani.
Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile.
Sasa kuna msemo usemao, ujasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake Ili kusaidia upinzani, maana askari kurudi nyuma wakati wa mapambano yamekolea SI sawa, msisitizo ni "Yaweza kuwa au tetesi".
Lakini pia ikiwa Babu yetu ni mgongwa, ni vyema tukajulishwa wajukuu zake, maana ugonjwa SI kitu Cha kuficha, tupeni taarifa.
Swali: Je Mzee wetu wa Bunda anakihujumu chama kwa kupotea ghafula majukwaani?
Karibuni 🙏
Zipi hizo?acha hizo
Kwann iwe Siri?Mzee anavaa pampers hajui aneyeingia wala anayetoka yupo hoi kitandani
unajua unachokifanyaZipi hizo?
Ndio najua,unajua unachokifanya
Sasa waseme wazi anaumwa tumwombee,Kuugua ni Jambo kila mtu atapitia Tumuombee kama anaumwa s
Hapana yuko uingereza mkuu afya yake siyo mzuri
hapana, sio unachokifanyaNdio najua,
Namuulizia Babu YANGU Mzee wa Bunda.
Kuna mtu kamuona Msechu anaelekea Bunda.Hapana yuko uingereza mkuu afya yake siyo mzuri
Mkuu mbona unanionea aise ni kipi kibaya hapo nimeongea?... kutoa taarifa ya kuwa afya yake sio nzuri hivyo yupo uingereza kwa matibabu napo ni kumdhihaki mtu?Sio vema kudhihaki wanaougua. Maisha yetu chini ya jua ni yale yale. Wote tutakwenda zetu. Ni suala la muda tu. Hakuna madaraka wala dola yenye nguvu kuzidi kifo.