Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

waterproof

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2020
Posts
387
Reaction score
349
Mchezo robo fainal UEFA champion league wa Barcelona dhidi ya Bayern Munich.

Tumeshuhudia Barcelona wakionyesha kiwango dhaifu na kisicho ridhisha kwa kuruhusu nyavu zao kutikiswa Mara nane(8) dhidi ya mawili(2).

Swali kwenu je corona imechangia au ni ubovu wa kikosi na mbinu hafifu za Mwalimu?
 
Back
Top Bottom