Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

Zama Zao Zimekwisha.....

Golden Boys Kina Xavi,Iniesta et al,are no longer there......

Waweke Nguvu Tena Katika La Masia.....

Lenye Mwanzo Halikosi...............

Alamsiki.
 
Hata CLUB chetu cha Simba kingefungwa n BM kwa leo lakina wasingefungwa mabao 8
 
Jumbe Brow post: 36353597 said:
Zama Zao Zimekwisha.....

Golden Boys Kina Xavi,Iniesta et al,are no longer there......

Waweke Nguvu Tena Katika La Masia.....

Lenye Mwanzo Halikosi...............

Alamsiki.
Kwahyo wanaungana na man u?
 
Una
Hata CLUB chetu cha Simba kingefungwa n BM kwa leo lakina wasingefungwa mabao 8
Unachekesha wachekeshaji ndugu tuache kuchanganya maji na mafuta me nadhan simba angekula hata 12 maana BM ni kama mbwa mwitu mzee
 
Zama Zao Zimekwisha.....

Golden Boys Kina Xavi,Iniesta et al,are no longer there......

Waweke Nguvu Tena Katika La Masia.....

Lenye Mwanzo Halikosi...............

Alamsiki.
Kwahyo ndo wameisha hvyo au
 
Ma
Bayern wana kikosi imara sana. Mi ni shabiki Sana wa barcelona ila hakukua na namna yoyote tungeweza kushinda dhidi ya bayern, kwa maoni yangu nadhani timu ambayo ingeweza kuleta upinzani kwa bayern ni liverpooll
Madhubuti
 
Back
Top Bottom