Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

Yani mpira umeisha nimeganda kwenye kiti nashindwa hata kuinuka, kweli nlijua tutapigwa ila sio goli nyingi namna ile
Masikini Pole San Pal....

Jipe Moyo Mkuu Wangu....Mmetutesa Sana Ninyi...Sasa zamu yenu Mkuu,lakini samahn KWA kusema hayo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hakuna namna bro kipigo kilikua hakiepukiki lile lilikua gharika... Adui anapiga hachagui eneo kudadeki
Maisha na mpira....?!!Daah

Barca hiihii ya Wababe kufanywa Asusa?!!!

Iko Siku Yanga Yangu Itachukua kombe la klabu bingwa DUNIA....hata km nitakua nishakufa,nitazisikia stori kutoka kwa wachunga mbuzi MAKABURINI!!!
 
Bayern wana kikosi imara sana. Mi ni shabiki Sana wa barcelona ila hakukua na namna yoyote tungeweza kushinda dhidi ya bayern, kwa maoni yangu nadhani timu ambayo ingeweza kuleta upinzani kwa bayern ni liverpooll
Hata los Blancos
 
Maisha na mpira....?!!Daah

Barca hiihii ya Wababe kufanywa Asusa?!!!

Iko Siku Yanga Yangu Itachukua kombe la klabu bingwa DUNIA....hata km nitakua nishakufa,nitazisikia stori kutoka kwa wachunga mbuzi MAKABURINI!!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hapo kwenye yanga Sina cha kusema ila itoshe tu kusema barca wanapaswa wajipange sana ukizingatia pia wachezaji wao wengi wanaelekea ama wamefika mwisho wa uwezo wao
 
German ni German tuuu...
Ukutane na timu ya taifa,
Ukutane na Club,
Hawanaga zama.

Tukumbuke haya yote yanatokea
Ribbery na Robben a.k.a Robbery hawapo hata bench.

Hakuna Team Duniani hata iwe kwenye Peak kiasi gani Ina amani inapokutana na
German NT au
B.Munich FC,
Iwe ni Home, iwe ni Away, iwe ni Mars, wanaendesha shughuli za msiba wenyewe..
No wonder Wanajiita Die Roten.

Barca kama ni their Time of Extension, basi wamefikia kwenye Elastick limit.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hapo kwenye yanga Sina cha kusema ila itoshe tu kusema barca wanapaswa wajipange sana ukizingatia pia wachezaji wao wengi wanaelekea ama wamefika mwisho wa uwezo wao
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ Sure,mabadiliko Ni Lazima......Jana Wazee Wa Estadio De Mestalla,Valencia wameamua kuwauza wachezaii wao wote,wanadai Ni Ukata TU.....
 
German ni German tuuu...
Ukutane na timu ya taifa,
Ukutane na Club,
Hawanaga zama.

Tukumbuke haya yote yanatokea
Ribbery na Robben a.k.a Robbery hawapo hata bench.

Hakuna Team Duniani hata iwe kwenye Peak kiasi gani Ina amani inapokutana na
German NT au
B.Munich FC,
Iwe ni Home, iwe ni Away, iwe ni Mars..
Wanajiita Die Roten.

Barca kama ni their Time of Extension, basi wamefikia kwenye Elastick limit.
.....sure,and beyond ELASTIC LIMIT IS...breaking....

Golden Boys Xavi,Iniesta and others are no longer there,they have to rearranging themselves at La Masia!!
 
German ni German tuuu...
Ukutane na timu ya taifa,
Ukutane na Club,
Hawanaga zama.

Tukumbuke haya yote yanatokea
Ribbery na Robben a.k.a Robbery hawapo hata bench.

Hakuna Team Duniani hata iwe kwenye Peak kiasi gani Ina amani inapokutana na
German NT au
B.Munich FC,
Iwe ni Home, iwe ni Away, iwe ni Mars..
Wanajiita Die Roten.

Barca kama ni their Time of Extension, basi wamefikia kwenye Elastick limit.
Kiukweli barca wamefika tamati japokuwa hatuwezi kujua wamejipanga vipi siku za mbeleni, LA masia sioni kama Bado Ina impact Tena kwenye soka Lao maana ndio iliwafanya watambe kwa kiasi fulani kwenye misimu iliyopita lakini pia hata usajili wanaofanya kwa Sasa hauleti positive impact kwenye timu zaidi ya misifa tu isiyokuwa na faida
 
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ Sure,mabadiliko Ni Lazima......Jana Wazee Wa Estadio De Mestalla,Valencia wameamua kuwauza wachezaii wao wote,wanadai Ni Ukata TU.....
Muda mwingine inabidi ufanye maamuzi ya kibabe tu maana timu nyingine zikigundua udhaifu wako inakua ni vipigo vya aibu kila kukicha
 
Back
Top Bottom