ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Wametupa changamoto wacha tuifanyie kaziNadhani mlikua mnasmkia tu bayern ngoja, leo mmepewa msiba ambao mtaulia mwaka mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametupa changamoto wacha tuifanyie kaziNadhani mlikua mnasmkia tu bayern ngoja, leo mmepewa msiba ambao mtaulia mwaka mmoja
Zama Baba...The Man Has Reached limiting point.Mpira umemkataa walimjaza bichwa wakamuita GOAT lakini leo ndio tumejua walimaanisha ile GOAT ya "mee mee mee"
Kwahyo ndo wameisha hvyo au
Kwahyo jamaa kaisha[/quote]OTE="Scars, post: 36353656, member: 427454"]
Mpira umemkataa walimjaza bichwa wakamuita GOAT lakini leo ndio tumejua walimaanisha ile GOAT ya "mee mee mee"
Kwangu mimi mechi iliisha kabla haijaanza, kitu pekee kilichofanya niangalie mechi ni ile Imani ya kishabiki kwamba mpira unadunda ila kiuhalisia wale wajerumani ni moto wa kuotea mbaliMa
Madhubuti
Lakini uchebe na tatoo bado zipo.....kwaiyo hajaisha kiivyoKwahyo jamaa kaisha
Lakini uchebe na tatoo bado zipo.....kwaiyo hajaisha kiivyoKwahyo jamaa kaisha
Ukizingua unapgwa tuWell.Hivi kile kizazi Cha DHAHABU toka La Masia kinaweza pigishwa 8?!!
Tena Robo Fainali😁😁
All and All it's football....kujipanga Ni kila uchao!!
Germany Machine.....Kwangu mimi mechi iliisha kabla haijaanza, kitu pekee kilichofanya niangalie mechi ni ile Imani ya kishabiki kwamba mpira unadunda ila kiuhalisia wale wajerumani ni moto wa kuotea mbali
😂😂😂 bora hata wangemkodi MorisonLakini uchebe na tatoo bado zipo.....kwaiyo hajaisha kiivyo
Ukizingua unapgwa tu
Huu sio muda wa kujifunza kupitia makosaWametupa changamoto wacha tuifanyie kazi
Majamaa hayana huruma kabisa yale 😂😂 na kama zingeongezwa dakika tano nadhani tungekuwa tunazungumzia goli kumi,,, kiufupi wametudhalilisha ila sio kesi ndio soka hiloGermany Machine.....
Wajerumani Wana Historia ya KUPIGA vipigo vya mbwa mwizi pale ukijilegeza......
Bayern Ina historia hiyo....
National Team Ina historia hiyo.......
Pale Maracana,Brazil ililambwa 7....Kocha wa Ujerumani Anawaambia baaaasiiiii eee IMEEE....IMEEE imetoshaaaa!!
Kwahyo Leo wamefanyajweHaipingwi😁
Leo mamba kaingia mkenge...shunguli imemkutaKwahyo Leo wamefanyajwe
Hapo ndipo tujue soka linabadilika ukija kichwa kichwa tunakupasua jichoLeo mamba kaingia mkenge...shunguli imemkuta
Umuonee Huruma Barcelona ilihali UMEMFUMANIA chumbani kwako?!!weeee...ukimuacha,mwakani atakuja kukunanihii mbele ya Watoto wako😁😁😁Majamaa hayana huruma kabisa yale 😂😂 na kama zingeongezwa dakika tano nadhani tungekuwa tunazungumzia goli kumi,,, kiufupi wametudhalilisha ila sio kesi ndio soka hilo
Habari ndo hiyo bro kwenye mpira kudhalilika ni rahisi tuHapo ndipo tujue soka linabadilika ukija kichwa kichwa tunakupasua jicho
Mchezo robo fainal UEFA champion league wa Barcelona dhidi ya Bayern Munich.
Tumeshuhudia Barcelona wakionyesha kiwango dhaifu na kisicho ridhisha kwa kuruhusu nyavu zao kutikiswa Mara nane(8) dhidi ya mawili(2).
Swali kwenu je corona imechangia au ni ubovu wa kikosi na mbinu hafifu za Mwalimu?