reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
.....sure,and beyond ELASTIC LIMIT IS...breaking....
Golden Boys Xavi,Iniesta and others are no longer there,they have to rearranging themselves at La Masia!!
Shaka inakuja..Kiukweli barca wamefika tamati japokuwa hatuwezi kujua wamejipanga vipi siku za mbeleni, LA masia sioni kama Bado Ina impact Tena kwenye soka Lao maana ndio iliwafanya watambe kwa kiasi fulani kwenye misimu iliyopita lakini pia hata usajili wanaofanya kwa Sasa hauleti positive impact kwenye timu zaidi ya misifa tu isiyokuwa na faida
Siioni tena Barcelona ikijenga Academy Yao kama ilivyokua Desturi na hatimaye Kuwa na kikosi Kilichokua kikiogopwa kila kilipo tua,
Barcelona ya leo ni ya Kuzama mfukoni kupigana vikumbo na Man City, PSG kuokota wachezazi ambao wakija una kazi ya kulazimisha au kubadili mfumo...
Timu ya taifa nayo ni hivyo hivyo,
Hawa jamaa walilewa sifa..
German ya Leo ni Matokeo na Mpango mkakati wa Mwaka 1994, baada ya kuaibishwa kwenye World Cup...
Kujenga Timu kwa Mapambano ya nje Si hela tuu hasa kama hukuishi kwa salfasa hio..
Wasilazimishe kuwaiga Madrid,
Los Bancos wao hawanaga mfumo, wapo frexible kulingana na mchezaji anayempata, Wapo kipesa/kimapato zaidi..
Lengo na jukumu lao kubwa ni Ndoo na Sehemu ya Mapato ya Taifa kwa kujaza wachezaji wakubwa/maarufu, hawanaga subira.
Barca lengo lao ni Ndoo, na kutengeneza mfumo mzuri wa National team, No Wonder kifo cha Barcelona indirect way ni kifo Spanish NT.
Wanahitaji mda, Na kweli walifanya hivyo wakafanikiwa, wakajenga Club, wakajenga NT.
Unapo amini katika mfumo...
Lazima uwekeze katika rasilimali watu, utumie mda Kutengeneza mfumo, Unapomleta mchezaji Tayari na mfumo wake Anaharibu kila kitu..
Angalia iliyokua partnership ya Xavi, Iniesta na Messi, njoo uangalie ya leo..