Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

Chelsea alivyofungwa 4-1 maneno yakawa meengi!Kumbe chealsea ni afadhali kidogo maana hata mechi ya kwanza walifungwa 3 - 0 tu nyumbani
 
Mechi ilikosa ladha, Bayern walicheza Kama wako mazoezini
Mpaka na ubora wa Bayern hata uchovu wa Barcelona maana wametoka kwenye ligi hivi karibuni wakiwa na uchovu mkubwa Bayern wamemaliza ligi muda mrefu sana hivyo kulikuwa na udhaifu huo pia.

Barcelona pia hawako form na kikosi chao kinahitaji maboresho makubwa sana.
 
mashabiki wa barcelona
1597486723300.png
 
8 confirmed cases in Barcelona 2 recovered 6 isolated in campo nou quarantine house
 
Hawa miamba wa Ujerumani wana kikosi kizuri sana, huenda wakamchukua huyu mwali (UEFA).
 
Kwa kikosi kile cha kupania mechi cha Bayern hakika barca asingetoka barca sasa ivi n wachovu sana jaman tukubali tu,yan Bavarians kuanzia beki za pemben ,viungo,ushambuliaj hawakamatiki ni moto wa kimondo na wajerumani walivo na sifa hawaridhik magol at a ishirin barca angepigwa
 
QUOTE="Maili tatu, post: 36361258, member: 605498"]
Kwa kikosi kile cha kupania mechi cha Bayern hakika barca asingetoka barca sasa ivi n wachovu sana jaman tukubali tu,yan Bavarians kuanzia beki za pemben ,viungo,ushambuliaj hawakamatiki ni moto wa kimondo na wajerumani walivo na sifa hawaridhik magol at a ishirin barca angepigwa
[/QUOTE] usemacho ni kweli kabisa, kikosi cha bayern ni imara sana kulinganisha na barca ambayo inamtegemea zaidi Messi, ni wakati Sasa barca waje na mkakati imara la sivyo vipigo vya aibu vitakua endelevu
 
Back
Top Bottom