QUOTE="Maili tatu, post: 36361258, member: 605498"]
Kwa kikosi kile cha kupania mechi cha Bayern hakika barca asingetoka barca sasa ivi n wachovu sana jaman tukubali tu,yan Bavarians kuanzia beki za pemben ,viungo,ushambuliaj hawakamatiki ni moto wa kimondo na wajerumani walivo na sifa hawaridhik magol at a ishirin barca angepigwa
[/QUOTE] usemacho ni kweli kabisa, kikosi cha bayern ni imara sana kulinganisha na barca ambayo inamtegemea zaidi Messi, ni wakati Sasa barca waje na mkakati imara la sivyo vipigo vya aibu vitakua endelevu