winchester
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 285
- 336
Sasa kama ni tire sealants kwa nilivyoona ni items ndogo , kama zipo kwenye maboksi makubwa makubwa mbambie azitoke zitapunguza CBMMzigo ni tire sealants mkuu.
Sasa kama ni tire sealants kwa nilivyoona ni items ndogo , kama zipo kwenye maboksi makubwa makubwa mbambie azitoke zitapunguza CBMMzigo ni tire sealants mkuu.
Boss kwa vitu kama bahasha bei inakuaje maana hapo sijaona zile bahasha na packages nyingine kama foil?1. Shipping agent.
- Hapo kwenye fulani Fulani ndio hasa penye kutupatia gharama halisi.
- Ila kwa kuwa umeficha, acha tuishie hapo, iko hivi range ya usafirishaji ni kati ya USD 340 hadi USD 700 kwa CBM 1: kwa kutegemea mambo mawili.
2. Ni bidhaa ipi kati ya hizo bidhaa Fulani Fulani
Image itakusaidai kuweza kupa idea jinsi bei zilivyo kwa bidhaa fulani fulani.
View attachment 3429939
- Ili kujua kwa TZS utalipa kiasi gani; Uliza shipping agent wako je USD 1 = Anafanya kwa TZS ngapi? ( Kila agent ana rate yake, hawafuatishi rate ya benki au BOT)
bahasha bei inakuaje maana hapo sijaona zile bahasha na packages nyingine kama foil?
<Muhimu>
Mwl.RCT. Nimekucheki inbox kuna ushauri nimekuomba.
- Ni kweli mkeka hauna kila kitu kwa jina lake, ila kuna kundi la bidhaa ambapo kwa kiasi kikubwa hiyo bidhaa yaweza kuwekwa kwenye kundi hilo
- Kwa keywords kwenye maelezo yako ( bahasha/ packages) bei itaangukia hapa $390 au $440 kwa kutegemea na aliyekagua mzigo husika na kuweka kwenye kundi mojawapo kati ya haya makundi mawili (stationery / Plastic Bags):
<Muhimu>
1. Bei halisi utapewa baada ya mzigo kukagualiwa na Msafirishaji. Mkeka unakusaidia kufanya makadilio ya awali.
Na baadhi ya wasafirishaji huwa na flat_rate ya $500 per cbm kwa bidhaa zilizo nyingi, Na bidhaa chache ambazo wanakuwa wamezianisha ndio huwa na bei maalum per cbm
2. Hakikisha unawasiliana na Msafirishaji wa bidhaa zako ili akupe bei yake.
Tayari nimejibu.M
Mwl.RCT. Nimekucheki inbox kuna ushauri nimekuomba.
pachanya<Muhimu>