Je bei ya usafirishaji mizigo toka China Kwa CBM ni kiasi gani Kwa wastan

Boss kwa vitu kama bahasha bei inakuaje maana hapo sijaona zile bahasha na packages nyingine kama foil?
 
Huu Uzi nikiuzingatia ndo mwanzo wa kuwa tajiri
 
bahasha bei inakuaje maana hapo sijaona zile bahasha na packages nyingine kama foil?
  • Ni kweli mkeka hauna kila kitu kwa jina lake, ila kuna kundi la bidhaa ambapo kwa kiasi kikubwa hiyo bidhaa yaweza kuwekwa kwenye kundi hilo
  • Kwa keywords kwenye maelezo yako ( bahasha/ packages) bei itaangukia hapa $390 au $440 kwa kutegemea na aliyekagua mzigo husika na kuweka kwenye kundi mojawapo kati ya haya makundi mawili (stationery / Plastic Bags):
<Muhimu>
1. Bei halisi utapewa baada ya mzigo kukagualiwa na Msafirishaji. Mkeka unakusaidia kufanya makadilio ya awali.

Na baadhi ya wasafirishaji huwa na flat_rate ya $500 per cbm kwa bidhaa zilizo nyingi, Na bidhaa chache ambazo wanakuwa wamezianisha ndio huwa na bei maalum per cbm

2. Hakikisha unawasiliana na Msafirishaji wa bidhaa zako ili akupe bei yake.
 
M
Mwl.RCT. Nimekucheki inbox kuna ushauri nimekuomba.
 
pachanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…