GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mjomba wako.Ungekuwa kocha ni wewe ungemuita nani anayemzid Mwamnyeto uwezo na uzoefu?
Kawaulize benchi la ufundi watakujibu.Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania nchi.
Hapo sasa.Ally Salim hajadaka hata mechi moja kaitwa.
Rasta msimu mzima goli moja anaitwa.
Kwani kazi umeona ni kufunga tuu...Ally Salim hajadaka hata mechi moja kaitwa.
Rasta msimu mzima goli moja anaitwa.
Wanajaribu kujipa umuhimu ambao hawana..Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania nchi.
Unakumbuka game ya mwisho , Dickson Job aliumia akaingia Mwamnyeto , naomba uniambie wapi alipwaya?Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania nchi.
Yule kocha hata ww unamzidi akiliUngekuwa kocha ni wewe ungemuita nani anayemzid Mwamnyeto uwezo na uzoefu?