Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
ni Benki ya Jiji la Dar es salaam hapo ndipo utaona shida inapoanzia! wanyonyaji balaaBenki ya jiji? Kwani kwenye capitalism serikali huwa inafanya Biashara??????
yaan ukienda ofisinu kwao utafkiri benki haina kiongozi maana kila mtu anafanya kivyake tu! wafanyakaz wakongwe wa idara ya mikopo wamekimbia kibaoooo wamebaki wageni tuBenki ya jiji? Kwani kwenye capitalism serikali huwa inafanya Biashara??????
Kakope hizo benki zenye riba ndogoHii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi!
Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11%
Ukiwaambia wakupunguzie riba wanasema watakuwekea 16 halafu unakuta kimahesabu inarudi 19%
Je, uhuni huu BoT WANAUJUA?
la pili ambalo ni BAYA ZAIDI! ukienda kufuta mkopo kwa CASH wanakukata na riba ambayo haipaswi kabisa kukatwa kisheria! je NANI ANAWAPA KIBURI HIKI KUKIUKA SHERIA ZA NCHI?
SERIKALI waangalieni hawa wanyinyaji sana kwa wafamyakaza hasa waalimu na maaskari polisi
hilo ni.jibu rahisi! ni sawa tu ila ishu ukishakopa hapo.kujitoa wanakiuumiza kwa riba nje ya utaratibu wa Benki kuuKakope hizo benki zenye riba ndogo
Benki kuu haipangi riba kama hivyo unavyofikiri wewe.hilo ni.jibu rahisi! ni sawa tu ila ishu ukishakopa hapo.kujitoa wanakiuumiza kwa riba nje ya utaratibu wa Benki kuu
sijasema kupanga riba! nimesema masheriti ya kujitoa hiyo benki wao wanabeba na riba wakati haitakiwi hivyoBenki kuu haipangi riba kama hivyo unavyofikiri wewe.
Kabisa, benki hii inanyonya Sana walimu, mbaya zaidi hata ukienda kufanya "top up" bado nafuu ya haipo pamoja na riba kubwa bado wanakulazimisha sharti mshahara upitie benki yao na hautabadili hadi umalize deni lao.Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi!
Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11%
Ukiwaambia wakupunguzie riba wanasema watakuwekea 16 halafu unakuta kimahesabu inarudi 19%
Je, uhuni huu BoT WANAUJUA?
la pili ambalo ni BAYA ZAIDI! ukienda kufuta mkopo kwa CASH wanakukata na riba ambayo haipaswi kabisa kukatwa kisheria! je NANI ANAWAPA KIBURI HIKI KUKIUKA SHERIA ZA NCHI?
SERIKALI waangalieni hawa wanyinyaji sana kwa wafamyakaza hasa waalimu na maaskari polisi
Nilikua nawaza hivyo hivyo kwani lazima kukopa DCB? Tena nmb au crdb wamejaa teleSasa si mkakope kwenye hizo benki zenye riba 16% - 11%!!! Kwa nini mnang'ang'ania huko DCB? Au ndiyo yale yale mambo ya kukopa huku ukiwa huyajui/hujayasoma masharti ya mkopo!!!
Ni mateso juu ya mateso, pia msaada hata wanaopitishia mishahara huko wanateseka Sana wanapata mshaha wao siku tatu baada ya mabenki mengine kutoa moshaharaHii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi!
Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11%
Ukiwaambia wakupunguzie riba wanasema watakuwekea 16 halafu unakuta kimahesabu inarudi 19%
Je, uhuni huu BoT WANAUJUA?
la pili ambalo ni BAYA ZAIDI! ukienda kufuta mkopo kwa CASH wanakukata na riba ambayo haipaswi kabisa kukatwa kisheria! je NANI ANAWAPA KIBURI HIKI KUKIUKA SHERIA ZA NCHI?
SERIKALI waangalieni hawa wanyinyaji sana kwa wafamyakaza hasa waalimu na maaskari polisi
Nadhan wafanyakazi hawa wanajipeleka wenyewe ili wanyooshwe.Benki ya jiji? Kwani kwenye capitalism serikali huwa inafanya Biashara??????