MoSantu
Senior Member
- Feb 26, 2022
- 173
- 167
Yah inaruhusiwa hii hapa kwetu pia nina ushaidi kuna jamaa mmoja alinigusia hii kitu saivi naona anapambania ujenzi.Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa.
Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi?
Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa.