Je, biashara ya mochwari binafsi inaruhusiwa?

Je, biashara ya mochwari binafsi inaruhusiwa?

Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa.

Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi?

Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa.
Ni vizuri ukawa na hospital kabisa ili uwe unazalisha maiti zako binafsi, maana Kuna wakati Hali inakuwa ngumu watu hawafi kabisa unatamani hata uwape simu🙂
 
Back
Top Bottom