Yah inaruhusiwa hii hapa kwetu pia nina ushaidi kuna jamaa mmoja alinigusia hii kitu saivi naona anapambania ujenzi.Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa.
Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi?
Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa.
Ahsante mkuu,haikuishia hapo mtoto wangu wa kwanza alifariki Iringa,nilipata uhamisho Toka Mbeya aliugua numonia nikiwa mgeni,niliiosha maiti mwenyewe!,Uoga Tena hapo utoke wapi mkuu!,Mungu fundi.Pole sana mkuu.
Changamoto ni watu wanaweza kukutelekezea maiti!Yah inaruhusiwa hii hapa kwetu pia nina ushaidi kuna jamaa mmoja alinigusia hii kitu saivi naona anapambania ujenzi.
Ahsante mkuu,haikuishia hapo mtoto wangu wa kwanza alifariki Iringa,nilipata uhamisho Toka Mbeya aliugua numonia nikiwa mgeni,niliiosha maiti mwenyewe!,Uoga Tena hapo utoke wapi mkuu!,Mungu fundi.
Mkuu hata mimi nilitamani sana hii kitu maana hii biashara yangu ya majeneza nikiongeza na kumiliki mortuary nahisi ntapiga hela sanaWakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa.
Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi?
Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa.
Nashukuru mkuu,tupo pamoja!Aisee, pole sana.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Nashukuru mkuu,tupo pamoja!
Anzia mochwari inatakiwa Kama bilion hivikucover nn?
kiasi gani?
🤣hamna kiongozi ni harakati za kutafuta tuNashangaa Huo ujasiri ulio nao ni mkubwa sana..
🤣usichojua kiumbe aliye hai ndo hatarishi zaidiHome kwako hakutakauka mauzauza😁😹.
Nimewaza tu
Ni sahihi kabisa, hata mimi hapo sijalenga kuwa mauza uza yatatoka kwa hiyo miili atakayoihifadhi, bali yatatoka kwa hawa binadamu wanaopenda kusafiri kwa ungo.. Labda watakuwa wanakuja kuwalaki😁😁🤣usichojua kiumbe aliye hai ndo hatarishi zaidi
🤝🤝nchi inahitaji vijana wenye maono kama wewe!. ila tu subiria sisiemu itoke madarakani najua hatutakuwepo sio vibaya ukaacha hiyo idea kwa vizazi vyako warithishane hadi kizazi cha kumi huko
Hamna mauza uza yoyote ambayo yatatokea I was there for years.Ni sahihi kabisa, hata mimi hapo sijalenga kuwa mauza uza yatatoka kwa hiyo miili atakayoihifadhi, bali yatatoka kwa hawa binadamu wanaopenda kusafiri kwa ungo.. Labda watakuwa wanakuja kuwalaki😁😁
Hongera sana kwa ujasiri.Hamna mauza uza yoyote ambayo yatatokea I was there for years.
Hamna ujasir wowoteHongera sana kwa ujasiri.
Kwahiyo uliifanya kwa uoga?Hamna ujasir wowote