puker JF-Expert Member Joined Nov 22, 2018 Posts 1,001 Reaction score 2,010 Feb 16, 2025 #41 Braza Kede said: Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa. Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi? Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa. Click to expand... Ni vizuri ukawa na hospital kabisa ili uwe unazalisha maiti zako binafsi, maana Kuna wakati Hali inakuwa ngumu watu hawafi kabisa unatamani hata uwape simu🙂
Braza Kede said: Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa. Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi? Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa. Click to expand... Ni vizuri ukawa na hospital kabisa ili uwe unazalisha maiti zako binafsi, maana Kuna wakati Hali inakuwa ngumu watu hawafi kabisa unatamani hata uwape simu🙂
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 3,840 Reaction score 6,844 Feb 16, 2025 Thread starter #42 See For Me said: Nashangaa Huo ujasiri ulio nao ni mkubwa sana.. Click to expand... kurukaruka kwa maharage ndo yanaiva ivo🤣
See For Me said: Nashangaa Huo ujasiri ulio nao ni mkubwa sana.. Click to expand... kurukaruka kwa maharage ndo yanaiva ivo🤣