Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,054
Hapo sasa..!!! Ajifunzi kumwamini mkewekwani jamani mkeo kakwambia ukweli haumini, unataka ukweli gani kutoka kwetu, kama mkeo tu humuamini sisi wapita njia utatuamini kweli????
HahahaahaAkikuambia aliyemtoa bikra utaweza vumilia kama unamjua au siku ukimjua? Ishi kwa matumaini tu kwamba wewe ndiye.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bikra zimeadimika miaka hii kama vyeti vy Bashite
Kipi kime kukenulisha meno joh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
tujiulize wote tu bila kuwa na hasira wala jazba
Bikira hutolewa na dushelele tu hasa Moran wa chugga peke yetu ndiyo tunawezaga hiyo kazi kuwarahisishia wenzetu wasikwame au kupata kikwazo....tunafanya papuchi kuwa breki pu....
Bikira hutolewa na na dushelele tu hasa Moran wa chugga oeke yao ndiyo tinawezaga hiyo kazi kuwarahisishia wenzetu wasikwame au kupata kikwazo....tunafanya papuchi kuwa breki pu....
Soma vuzuri hapo juu kwa msaada wa wengi si mimi tu na wenginekwani jamani mkeo kakwambia ukweli haumini, unataka ukweli gani kutoka kwetu, kama mkeo tu humuamini sisi wapita njia utatuamini kweli????
Always mwanaume hata akiwanamiaka 47 yupo bikra labda awenamatatizo [emoji12] [emoji12] [emoji12] popote ulipo mwanaume mshukuru mungu wakohaya mambo ya bikira mh, hua najiuliza mnapoongelea hizo bikira, na nyie mnajiuliza mkoje? hata wanaume mnapaswa kujitunza
Ray van Boy dizain zinapatika na nasikia zinapatikana Pemba usimwambie mtuNitafutie aisee
Senkiyu mkuu nyie ndio marafiki wa ukweli banaa soon nitakuja kutafutaRay van Boy dizain zinapatika na nasikia zinapatikana Pemba usimwambie mtu
Always mwanaume hata akiwanamiaka 47 yupo bikra labda awenamatatizo [emoji12] [emoji12] [emoji12] popote ulipo mwanaume mshukuru mungu wako
Naombeni msaada kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia
Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time
SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA
Well said Neggredo.Ukiwa na huruma huwezi kuvunja "Ukuta wa Berlin" nadhani huwa wanasikia maumivu makali.Inakuwa Vita ya hatari.Kung'atwa meno hatari.[emoji15]Yan kumtoa mwanamke bikra ni sawa nakubaka tuu coz usipotumia nguvu hutoboi