Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

mkuu, usimfanye akamkumbuka her Ex then akilinganisha na ww ni empty

√√labda umuulize aliyemtoa bikra na aliyempa mimba nan anamkumbuka ,utaona anaenda kukusanya nguo zake...
 
kwani jamani mkeo kakwambia ukweli haumini, unataka ukweli gani kutoka kwetu, kama mkeo tu humuamini sisi wapita njia utatuamini kweli????
Hapo sasa..!!! Ajifunzi kumwamini mkewe
 
tujiulize wote tu bila kuwa na hasira wala jazba

Bikira hutolewa na dushelele tu hasa Moran wa chugga peke yetu ndiyo tunawezaga hiyo kazi kuwarahisishia wenzetu wasikwame au kupata kikwazo....tunafanya papuchi kuwa breki pu....

Bikira hutolewa na na dushelele tu hasa Moran wa chugga oeke yao ndiyo tinawezaga hiyo kazi kuwarahisishia wenzetu wasikwame au kupata kikwazo....tunafanya papuchi kuwa breki pu....
 
kwani jamani mkeo kakwambia ukweli haumini, unataka ukweli gani kutoka kwetu, kama mkeo tu humuamini sisi wapita njia utatuamini kweli????
Soma vuzuri hapo juu kwa msaada wa wengi si mimi tu na wengine
 
Nina sababu kubwa sana ya kumuuliza na pia nitamuuliza mara ya misho kuchepuka ikikuwa lini ipo sababu na nyie mbao mlikuwa mnatuona imani na kuzivunja na mkaja olewa na mtu mwingine MSIKASIRIKE ndo hivo zishabanduliwa kuweni wakweli. Unaweza mwambia mumeo Nani alikutoaga au ushatembea au kukusaliti mara ngapi toka muoane msiwe WAKALI semeni ukweli ili muaminike kuliko mfiche aje agundue mwenyewe
 
haya mambo ya bikira mh, hua najiuliza mnapoongelea hizo bikira, na nyie mnajiuliza mkoje? hata wanaume mnapaswa kujitunza
Always mwanaume hata akiwanamiaka 47 yupo bikra labda awenamatatizo [emoji12] [emoji12] [emoji12] popote ulipo mwanaume mshukuru mungu wako
 
Yan kumtoa mwanamke bikra ni sawa nakubaka tuu coz usipotumia nguvu hutoboi
 
Always mwanaume hata akiwanamiaka 47 yupo bikra labda awenamatatizo [emoji12] [emoji12] [emoji12] popote ulipo mwanaume mshukuru mungu wako

kama mnamshukuru "mungu" hapo sawa....
 
Jaman bikra sio lazma itolewe na mwanaume kuna vitu kama kuendesha biskel kufanya kaz ngum au kuruka sehem ndefu na bikra sio lazma inapotolewa uone dam wengne awatoki sasa shda wanaume weng sio waelewa we kama kashakujbu mara moja bas usiulizeulize unamtia hasira tu
 
Naombeni msaada kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia

Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time

SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA

Mkuu swala la bikra ni utata mtupu hasa kwa watu waliobalehe (16+).
*Kuna wanaouziwa mbuzi kwenye gunia kwa kupewa papuchi siku mtu anamalizia hedhi yake hvo vile vitone vikijipakaa katika shuka unaingizwa King kuwa umeitoa ww wa kwanza. *Pia kuna bikra za kurudishwa kwa dawa hio ni hususani islamic states kama pakistan ambapo kwa sasa mabinti hawatoi tena jicho bali anakupa nyapu na akikaribia kuolewa anatumia dawa za kurudisha bikra na muoaji akigusa tuu utepe upo.
Hivo nikirudi katika mada ni hivi wewe ishi kwa matumaini tuu kuwa U ARE THE ONLY MAN OF HER LIFE na itakusaidia usipate wivu, usiwe na dukuduku ambazo zitakuudhi zikakuondolea upendo na nuru maishani mwako ama kuwa na maumivu ya nafsi yatayokufanya ufanye umalaya kama kulipiza kudanganywa na mengine mengi hafu akijiteketeza mwenyewe ukamwacha yy akila LIFE TO THE FULLEST.
 
From what I know!!!
Bikra ni very thin layer ambayo mwanamke huwanayo kwenye uchi wake, hivyo mwanamke anapokuwa anafanya kazi za nguvu, au mazoezi ya nguvu kuna uwezekano mkubwa wa kupotea kwa layer hiyo.

Kwa maana nyengine mwanamke bikra ni mwanamke ambaye hajakazwa tu over.

Bikra haina maana kitu kama lile govi tunalokuwa nalo sisi wanaume kabla kutahiriwa ambalo mtu unaliona wazi wazi.

Kuna hali tofauti kwa wanawake,
kwa wale wanawake ambao hawajawahi kukazwa lkn wanafanya kazi za nguvu basi siku ukikutana nae waweza sema ameshagongwa sana kumbe la ila tu ile leya imepotea ila km mwanaume ni mzoefu ktk mambo haya lazima utamgundua mwanamke ambaye ndio mara ya kwanza kumegwa.

Hali inakuwa tofauti kwa mwanamke ambaye ni hajawahi kazwa halafu hafanyi kazi za nguvu mfano wanawake wa pwani lazima ile layer atakuwa nayo.

Yanini kumuliza mkeo habari za ubikra??? Unapewa majibu mazuri pia huyataki unataka majibu gani??? Usiulize maswali halafu ukawa nayo mwenyewe km NECTA utafeli
 
Yan kumtoa mwanamke bikra ni sawa nakubaka tuu coz usipotumia nguvu hutoboi
Well said Neggredo.Ukiwa na huruma huwezi kuvunja "Ukuta wa Berlin" nadhani huwa wanasikia maumivu makali.Inakuwa Vita ya hatari.Kung'atwa meno hatari.[emoji15]
 
Naombeni msaada kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia

Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time

SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA
 
Yani unamuuliza mtu je mimi ndo niliyekutoa bikra? ama unamuuliza nan aliyekutoa bikra? kwa zama hizi anaeringia bikra ni msaka ndoa tu.
 
Back
Top Bottom