Elninho Elninho
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 537
- 401
Naombeni msaada kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia
Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time
SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA
Tatizo unafukua makaburi ya zamani..huyo ameshakuwa mkeo hata kama ni mm nilimtoa bikira..jiongeze bhana..back to ur qn..inaweza kutoka kwa kufanya kazi ngumu au demu kuendesha baiskeli sana