Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

Naombeni msaada kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia

Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time

SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA

Tatizo unafukua makaburi ya zamani..huyo ameshakuwa mkeo hata kama ni mm nilimtoa bikira..jiongeze bhana..back to ur qn..inaweza kutoka kwa kufanya kazi ngumu au demu kuendesha baiskeli sana
 
bikra ya nini labda ya mbele au nyuma kama ya mbele hataki kukuambia ni limbukeni tu mpumbafu ila kama ya tako kamwe hawez sema
 
Ila na wewe unatafuta nini? Stories za kijiweni ndio unaenda kumfanyia mkeo majaribio? Kwani wewe ulivyompenda kigezo kilikuwa ni bikira? Na kama sio achana na hiyo biashara na ukome kumuuliza mkeo maswali ya kipuuzi. Saasawa?
umesema vema
 
Bikira ni usafi, namna mtu anavyovaa, tembea na hata maongezi yake, hata mwanaume unatakiw kuwa bikira, hat mwenye ndoa unapaswa kuwa bikira.

Utando unaokuw kwenye njia ya mwanamke huwa unaweza kutoka hata kwa mwanamke kutembea sana, kuendesha baiskeri, kuruka kamba au mashimo lakin hii haimanishi hajawa bikira kama tu ni msafi... Wewe unataka ubikira upi?
 
Hii habari ngumu sana kueleweka.

Bikira ya chini inaweza kutoka mwanamke hata akipanda farasi au kucheza michezo tu. Lakini mawazo yake yakabaki safi,ya kibikira, hayajachafuliwa.

Na bikira ya chini inaweza kuwepo, lakini mawazo yake ni ya maaluni.
 
Naombeni msaada kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia

Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time

SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA
Mkeo anakuwa mkali kuulizwa sababu unamkumbusha uchungu wa kupotezana na mpenzi wake aliyemtoa bikira zote mbili na kushindwa kumwoa mpaka akaja kuolewa na wewe mwenye kibamia.![emoji15]
 
MKUNA NA MKUNWAJI MUONA RAHA NINAANIIII...! Hapa natakakujua anaejua faida ya Bikra ninani? Mtanisamehe coz wengine bado under ground halafu bidhaayenyewe this time imekua adimu hasa hapa jijini
Imekuwa adimu kwa kuwa nyingine zinatoka zenyewe kwa kazi ngumu au kuendesha baiskeli au kuruka ruka kichura mashuleni zinachomoka kwenye gea box
Ila unaweza kukutana nae ikawa ngumu kupita na ikipita bikra hakuna
 
Subiri Ray Van Boy; tuombe msaada jamani wana jf hebu tujuzeni mkoa gani kwahapa Tanzania inapatikana kwawingi hii kitu bikira jamaa Ray Van boy anasema adimu kama fafafa
Pemba
 
Sijawai mbikiri mwanamke yeyote ila kwa nnavyosikia lazima kuwe na ugumu kuingia. Kuwepo na utepe au kusikuepo.
What..??? Embu rudia tena.... mbona unamjibu as if wewe ni boy au ni mimi sielewi nini?? Anakuuliza kama wewe ni mwanaume au wasichana huwa mnatoana bikra??
 
What..??? Embu rudia tena.... mbona unamjibu as if wewe ni boy au ni mimi sielewi nini?? Anakuuliza kama wewe ni mwanaume au wasichana huwa mnatoana bikra??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimejibunikimaanisha kama msichana sijui inatolewaje.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimejibunikimaanisha kama msichana sijui inatolewaje.
Hapo tumeenda sawa sasa...mtoaji ndio anajua inatolewaje na sio mtolewaji...( yeye huwa anajishtukia imeshatolewa)
 
Back
Top Bottom