Sasa unapinga na nimekuwekea Muujiza huu wa kwanza na ipo mingi.Nimecheka 😂😂😂 sana kubali tu Muhammad hakuwahi kuwa na muujiza ukaonekana
Kingine katika hii nada nilichosahau ni kuwa Mijuiza hufanywa na Mitume tu peke Yao, mtu wa kawaida hafanyi Miujiza ni ushirikina na Mazingaombwe.