Je, binadamu anawezaje kufanya miujiza?

Je, binadamu anawezaje kufanya miujiza?

Nilikuuliza swali moja ukakimbia , je ni kweli alkurmti alienda kwenye nyumba ya Allah akalichukua jiwe mnalolibusu akaenda kulifanya jiwe la chooni analinyea badae mkamuonga mkalirudisha maka na leo ndio manalibusu? Ukakimbia nakukukuta huku
Unazungumzia jiwe gani ni hili jiwe la Al kahaba lenye urefu wa futi 42 na upata futi 36 ndio jamaa alilichukua akalipeleka chooni kwake akawa anasugulia miguu yake akisha kuoga?

Mbona Hoja yako ni ya kitoto sana
Screenshot_20220917-110138.jpg
 
Najua nachofanya , na najua waislamu kujadili nao

Nimekutaka kitu rahisi Kiri sema haipo wala arkumuti hajulikani
Sasa kama unajua kwanini unakiuka adabu za mjadala ? Nimeanza kukuuliza swali langu hujajinu, unakuja kulazimisha nijibu swali lako. Huu si utaratibu wa kimjadala.

Sasa twende kama unavyotaka. Sijawahi kusikia jina Hilo ndiyo nalisikia kwako kwa mara ya kwanza.

Kingine huwezi kunilazimisha nikiri juu ya mtu huyo wakati sijui.

Sasa usipoteze muda nachotaka ujibu swali langu. Habari za Mtu huyu umezipata wapi ? Kwenye kitabu gani na jina la muandishi wa kitabu hicho ni nani ?
 
mimi sikuleta mada ya dini humu umekazania mitume wanausikaje humu dogo
Dogo unatafuta ukweli au unataka kupoteza muda ? Kajadiliane na watoto wenzako kama hutaki ukweli.

Nimeamua kukusaidia kukupa ukweli unataka kuleta utoto ?

Miujiza hufanywa na Mitume na Manabii peke Yao, kitu ambacho Mitume na Manabii hawapo kwa Sasa hivi.
 
Dog unatafuta ukweli au unataka kupoteza muda ? Kajadiliane na watoto wenzako kama hutaki ukweli.

Nimeamua kukusaidia kukupa ukweli unataka kuleta utoto ?

Miujiza hufanywa na Mitume na Manabii peke Yao, kitu ambacho Mitume na Manabii hawapo kwa Sasa hivi.
nonsense
 
Sasa kama unajua kwanini unakiuka adabu za mjadala ? Nimeanza kukuuliza swali langu hujajinu, unakuja kulazimisha nijibu swali lako. Huu si utaratibu wa kimjadala.

Sasa twende kama unavyotaka. Sijawahi kusikia jina Hilo ndiyo nalisikia kwako kwa mara ya kwanza.

Kingine huwezi kunilazimisha nikiri juu ya mtu huyo wakati sijui.

Sasa usipoteze muda nachotaka ujibu swali langu. Habari za Mtu huyu umezipata wapi ? Kwenye kitabu gani na jina la muandishi wa kitabu hicho ni nani ?
Naenda na wewe taratibu ,nataka utamke wewe

Nini kilitokea mpaka Leo hii jiwe limebaki vi kokoto vi 8?
 
Unanipotezea muda, unaruka ruka. Hujamaliza Moja unarukia lingine. Hili pia la vijiwe vinane itabidi uje kulithubitisha, wewe umeviona wapi na habari hizi umezipata wapi ? Maliza kwanza la swali nililo kuuliza.

Kazi yangu nimemaliza. Uongo haukupeleki popote.

Nitaendelea kujadiliana na wewe ukishajibu swali nililo kuuliza.
 
Sitaki kukutafunia kamsome huyu mwamba

Abu Tahir al-Qarmati
 
Back
Top Bottom