Je, binadamu anawezaje kufanya miujiza?

Nimecheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sana kubali tu Muhammad hakuwahi kuwa na muujiza ukaonekana
Sasa unapinga na nimekuwekea Muujiza huu wa kwanza na ipo mingi.

Kingine katika hii nada nilichosahau ni kuwa Mijuiza hufanywa na Mitume tu peke Yao, mtu wa kawaida hafanyi Miujiza ni ushirikina na Mazingaombwe.
 
Kingine katika hii nada nilichosahau ni kuwa Mijuiza hufanywa na Mitume tu peke Yao, mtu wa kawaida hafanyi Miujiza ni ushirikina na Mazingaombwe.
Hili weka sawa ili tuendelee na debate, maana kule kwa arkumuti na jiwe alilolichukua Kwenye nyumba ya Allah na kulinyea ulinikimbia
 
Hili weka sawa ili tuendelee na debate, maana kule kwa arkumuti na jiwe alilolichukua Kwenye nyumba ya Allah na kulinyea ulinikimbia
Ulisahau nilikupa kazi gani ? Sijawahi kukimbia shida unaandika ujinga na uongo mpaka unapelekea kupuuzwa.
 
Ushirikina si Hirizi tu. Hata hayo aliyo yataja Mshana Jr yanaingia katika Ushirikina.

Twende kwa uhalisia na mifano. Miujiza inayofanywa kwa njia ambazo hutumii hirizi na mfano wa hayo, unaijuaje na msingi wake ni ni ?
Kisai si kila kitu ni ushikina kuna nguvu za asili ambazo huendelezwa kupitia mazoezi
 
Kisai si kila kitu ni ushikina kuna nguvu za asili ambazo huendelezwa kupitia mazoezi
Nakuelewa vizuri kiongozi wangu. Ila hapa mtoa mada amegusia kuhusu Miujiza.

Labda tulijadili tamko hili miujiza na Yale yanayo ingia na yasiyo ingia katika tamko hili. Naamini tukijua maana ya tamko hili tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana katika kujadili jambo hili.

Kwa kuanza safari hii naomba unisaidie majibu ya maswali haya :

1. Muujiza ni ni ?

2. Je muujiza kwa mtu wa kawaida yaani Mimi na Wewe, wao na wale au wasio Hawa niliyo wataja ?

3. Ushawahi kusikia lolote juu ya tamko "Karma" ?
 
Ulisahau nilikupa kazi gani ? Sijawahi kukimbia shida unaandika ujinga na uongo mpaka unapelekea kupuuzwa.
Nilikuuliza swali moja ukakimbia , je ni kweli alkurmti alienda kwenye nyumba ya Allah akalichukua jiwe mnalolibusu akaenda kulifanya jiwe la chooni analinyea badae mkamuonga mkalirudisha maka na leo ndio manalibusu? Ukakimbia nakukukuta huku
 
Ndiyo maana nikakwambia umesahau kazi niliyo kupa ? Nilikutaka kwanza uthibitishe yukio Hilo la hiyo uliye mtaja, ukakimbia hapa unakuja kujisahaulisha. Hapo hapo unataka kujadiliana na Mtu kama Mimi. Tengeneza uwezo wako wa kumbukumbu kwanza, una uwezo mdogo sana.

Hizi habari za hiyo mtu ulizipata wapi ? Hujaonyesha jambo Hilo.
 
Kiri hazipo , alafu usubirie nitakavyo kukipua
Post hapa sema hazipo
Kijana akili huna. Nimekuuliza habari umezipata wapi unanilazimisha niseme hazipo. Hiki nini ? Wewe ziweke hapa uone nitakacho kufanya.

Nasubiri jibu la swali langu.
 
Kijana akili huna. Nimekuuliza habari umezipata wapi unanilazimisha niseme hazipo. Hiki nini ? Wewe ziweke hapa uone nitakacho kufanya.

Nasubiri jibu la swali langu.
Sema hazipo kwanza
 
Huu utoto Sasa unaniletea. Ukiwa huwezi kujadiliana jambo. Usisumbue watu.

Jibu swali nililo kuuliza.
Najua nachofanya , na najua waislamu kujadili nao

Nimekutaka kitu rahisi Kiri sema haipo wala arkumuti hajulikani
 
mkuu hilo unalolitaka haliwezekani ktk hali ya kawaida
 
Sasa unapinga na nimekuwekea Muujiza huu wa kwanza na ipo mingi.

Kingine katika hii nada nilichosahau ni kuwa Mijuiza hufanywa na Mitume tu peke Yao, mtu wa kawaida hafanyi Miujiza ni ushirikina na Mazingaombwe.
mimi sikuleta mada ya dini humu umekazania mitume wanausikaje humu dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…