Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TehehheehehheheMkuu hicho kitabu ulichotumia hakina uwezo wa kukujibu maswali yako .....nahisi ungetumia kitabu cha wakristo na wayahudi ungesaidika kwa mjibu wa maswali yako.....maana nishawah kivisoma hivyo vitabu vinasema Adam na Eva Walikuwa Wanaishi Duniani wameumbwa kwa udongo wa Ardhi kwahyo nijambo la kuelewa tu Mungu Aliposema Nimuumbe mtu kwa mfano wangu akaitawale dunia ...hii inaonesha kabsa mpsngo wa Mungu ilikuwa ni watu tukaishi Duniani.......alimchagulia sehemu nzuri tena hivyo vitabu vinakutajia mito minne ambayo ipo hapa duniani ambapo makazi ya Adam yalikuepo alipomuasi Dingi yake,dingi Akakasiriks Aksmfukuza Eden Ndo mahangaiko yalikoanzia.. Vitu hivi vilianza (1)Hasira
(2)wivu
(3)kifo
(4)sadaka
Nk: Hivo ndugu nakushaur ukavisome vitabu vya Mungu Wawakristo na Wawayahudi Hayo maswali yako hautauliza tena .....Sio lazima Uwe Yahudi au Uokoke Soma tu kwa Kuongeza Maarifa mkuu.
Shukrani za dhati mkuu umenifumbua ndio maana nikaleta huu Uzi humu najua kuna watu makiniMkuu hicho kitabu ulichotumia hakina uwezo wa kukujibu maswali yako .....nahisi ungetumia kitabu cha wakristo na wayahudi ungesaidika kwa mjibu wa maswali yako.....maana nishawah kivisoma hivyo vitabu vinasema Adam na Eva Walikuwa Wanaishi Duniani wameumbwa kwa udongo wa Ardhi kwahyo nijambo la kuelewa tu Mungu Aliposema Nimuumbe mtu kwa mfano wangu akaitawale dunia ...hii inaonesha kabsa mpsngo wa Mungu ilikuwa ni watu tukaishi Duniani.......alimchagulia sehemu nzuri tena hivyo vitabu vinakutajia mito minne ambayo ipo hapa duniani ambapo makazi ya Adam yalikuepo alipomuasi Dingi yake,dingi Akakasiriks Aksmfukuza Eden Ndo mahangaiko yalikoanzia.. Vitu hivi vilianza (1)Hasira
(2)wivu
(3)kifo
(4)sadaka
Nk: Hivo ndugu nakushaur ukavisome vitabu vya Mungu Wawakristo na Wawayahudi Hayo maswali yako hautauliza tena .....Sio lazima Uwe Yahudi au Uokoke Soma tu kwa Kuongeza Maarifa mkuu.
Lipi hilo mkuuuUna lolote mkuu ktk hili?
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Kila kitu kimeumbwa na Mungu, lakini nabii Adam (as) hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa duniani.
Naomba nijue binaadam wa kwanza kuumbwa ni nani
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Write your reply...Ni kweli ukisoma biblia kwa mfano inaonesha toka mbingu na nchi vilipoumbwa mpaka sasa imepita miaka kati ya 6,000-10,000 lakini kwa sasa tunatambua kwamba ni miaka bilioni kadhaa hivyo nakubali kwamba Adam siyo binaadamu wa kwanza kuumbwa.
Source ni vitabu vya Dini mkuuMkuu Abuu, unaniuliza swali ambalo hata wewe ukiulizwa mfano wake hutaweza kujibu, mfano ,kuku wa kwanza kuumbwa alikuwa yupi??.
Mimi nasema hakuna popote kwamba mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa Nabii Adam (as), inatakiwa unithibitishie kama ni kweli yeye ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa.
Mkuu sijui umeanndika nn ungetumia kiswali au Englsh unisaidie niweze kuelewa namimi.Tehehheehehhehe
الجنون فنون
Pamoja sana.Shukrani za dhati mkuu umenifumbua ndio maana nikaleta huu Uzi humu najua kuna watu makini
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Source ni vitabu vya Dini mkuu
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Duuuuh..Mkuu Abuu, unaniuliza swali ambalo hata wewe ukiulizwa mfano wake hutaweza kujibu, mfano ,kuku wa kwanza kuumbwa alikuwa yupi??.
Mimi nasema hakuna popote kwamba mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa Nabii Adam (as), inatakiwa unithibitishie kama ni kweli yeye ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa.
Duuuuh..
Wewe uthibitisho unaoukubali utoke wapi ?
الجنون فنون
Kiukwelii uumbajii sijui ili swali litakuja kufumbuliwa lini ukiweka kando imani yetu zipo theory mbalimbali zinazonasibu uumbajibwa binadamu na ukizifatilia kwa undani nahisi unaweza sema ni kweli na yawezekana ni kweli...mfano mm kuamini kuwa binadamu na na apes (wakina chimpazee) kusemekana tunashare ancestor mmoja huwa silipingi kwa sababu vipo viashilia mbalimbali ambavyo ni rahisi kuwa approved