Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

Nipe sourse za ki biblia nijifunze mkuu na kujua ukweli

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Mkuu soma katika biblia kitabu cha Mwanza sura ya 1 na ya 2 ,soma zote.Hapo mambo ya uumbaji yameongelewa.Kwa mujibu wa biblia Adam na Hawa hawakukaa kwanza mbinguni kisha walipoasi wakaletwa duniani kwenye bustani ya Eden.
 
Ninavyojua Mungu ni mmoja the creator of universe hiyo miungu mingine imetokea wapi mkuu?

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Mkuu just to broaden your knowledge,Mungu wa kweli i.e the creator ni mmoja,ila unatakiwa ujue wapo na miungu wengine.ndiyo maana huyu wa kweli hujiita Mungu wa miungu na Bwana wa Mabwana,kasome Biblia utamjua.Na ili watu wasijesema ni story ,pia hujiita ni Mungu wa Israel na taifa la Israel lipo na litaendelea kuwepo mpaka mwisho.Na fuatilia utakubaliana na mimi Israel ndiyo habari ya dunia tukubali tukatae.Kwa hiyo miungu mingine ipo,inatoka wapi?Unaweza usipewe jibu ila hata Mungu the creator anatambua uwepo wa miungu wengine ndiyo maana hataki kufananishwa na miungu wengine au kitu chochote.
 
Nipe sourse za ki biblia nijifunze mkuu na kujua ukweli

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Kuhusu Mungu kutuumba kuja kutawala dunia,kwenye biblia ipo Mwanzo 1:26.Mungu ametupa uwezo wa kutawala viumbe vyote hata vya baharini,fuatilia National Geographic il ujue kama tunavitawala au la,siyo lazima wewe utawale kama wazungu wanavitawala wanakuwakilisha na wewe kama mwanadamu.Na muda mwingine tumekuwa masikini kwa sababu hatuishi kama maandiko ya Biblia yanavyosema.Wewe mtu unaishi hata hutawali kuku,mbuzi,bata,n.k hapa namanisha fuga hao wanyama na viumbe vingine.Biblia ilishamaliza sisi tu ndiyo tunashangaa shangaa,that is why tunasema "Mungu halaumiwi".
Kasome biblia mkuu utajua mengi ila jiepushe na wanaotumia akiri za kibinadamu ,huwa wanapotosha biblia na wengi wamepotea huko.
Mtumishi mmoja akasema Mungu alificha mbao kwenye miti,viatu vya ngozi kwa wanyama na mengine mengi,ni jukumu lako mwanadamu kutumia akiri na kufanya mambo makubwa.
NB:Tangu nizaliwe mpaka sasa miaka 30+ ,jina pekee lenye uwezo wa kuponya wagonjwa na kutoa mapepo ni jina la Yesu,sasa sielewi wengine huko waliko kuna nini.Matapeli wa kiroho wanajua jina la Yesu linalipa ndiyo maana wanalitumia kuwaibia wasio yajua maandiko.Mzee mmoja ndani ya daladala anamtongoza mdada ,hata haibu hana,anaulizwa utaweza anasema nitaweza?Usije ukanichezea kisha baadaye hupokei simu?Mzee anasema hapana.Ila anadini yake ila hana Yesu.Ndungu zangu hii dunia iko mwishoni,watu waoneni hivyo walivyo,mkifunuliwa tabia zao wengine mtawakimbia,take it from me.Kuna tofauti ya mtu mwenye dini bila Yesu na mtu mwenye dini na ana Yesu ndani yake.Wengi wanadini hawana Yesu.
Karibu kwa Yesu mkuu,huku kuna mambo mazuri ukisimama vizuri na huyu Mungu wa Israel.
 
Kumbukeni haya yote ni masimulizi... mlishawahi kujiuliza kwamba inakuwaje kama tumedanganywa??

Kwanini iwe ninaamini na isiwe ninajua/ninafahamu?...kipi bora kuamini au kujua...?

Kuna watu walikuwa hawajui kusoma, je hayo mambo ya vitabu wangeyajuaje????....
 
Asante mkuu kwa uchambuzi wenye kueleweka, source niliyoitumia Mimi inasema eti Adam na Hawa kila mmoja alitupiwa upande wake baadae sana wakaja kukutanishwa maeneo ya Saudia pale Makka wakaanza maisha mapya
 
Ndio tunachambua mkuu tupate ukweli wa haya masimulizi tuunganishe dots na kupata kitu kimoja kizima chenye kueleweka
 
Sawa... kama hii thread itaendelea for the next 100 years... still will be no answer.

Unawezaje kupata ukweli kwa mambo ambayo yapo nje ya milango mitano ya fahamu??
 
Asante mkuu kwa uchambuzi wenye kueleweka, source niliyoitumia Mimi inasema eti Adam na Hawa kila mmoja alitupiwa upande wake baadae sana wakaja kukutanishwa maeneo ya Saudia pale Makka wakaanza maisha mapya
Dah nimekufatilia sana ila wacha nijaribu kwenda sawa na wewe mana naona kuna mambo hayako sawa tutayajadili
Source ambayo umefatilia ni ipi mkuu ikakuambia maneno hayo?
 
Ndio tunachambua mkuu tupate ukweli wa haya masimulizi tuunganishe dots na kupata kitu kimoja kizima chenye kueleweka
Unachambua nini mkuu unaenda kupoteza imani yako bureee,.
Binadamu tunapojitia utashi kujadili ambayo yapo juu ya uwezo wetu na kutotosheka na maandiko hapo tunaelekea kubaya.

Baba tu wa familia akisema kuingia ndani mwisho saa mbili basi mtoto mwenye nidhamu atatii bila kuhoji hoji maswali mengii kwa ile hishm Ya baba,ila leo watu mnahoji na kuuliza uliza mambo ya mungu hii adabu kweli?

Ama tunajiona ndo magenius saaana tukijiuliza maswali kama hayo?

Ndo mana mtumw akasema

إن ما أهلك الذين من قبلكم كثرت مسائلهم واختلاف على أنبيائهم

Waliangamia wale ambao walikithirisha maswali saana na kutofautiana na manabii wao.

Chanzo cha maswali mengi ambayo yanahoji mambo ya zaidi ya upeo ni chanzo cha kuchezewa na shetani.
 
Kumbukeni haya yote ni masimulizi... mlishawahi kujiuliza kwamba inakuwaje kama tumedanganywa??

Tumeshajiuliza wengine tukagundua hatujadanganywa kwa sababu hatuwezi kuamini ni uongo kwa kuwa hatukuepo na ni kiimani zaidi,ama ili tuamini kama ni uongo tumedanganywa basia aje mkweli na atumie vigezo vingine tumuamini yeye kinyume na vigezo vile tulivotumia sisi kuamini vitabu vya dini nini vinasema.

Kwanini iwe ninaamini na isiwe ninajua/ninafahamu?...kipi bora kuamini au kujua...?

Kuna watu walikuwa hawajui kusoma, je hayo mambo ya vitabu wangeyajuaje????....

Kuna watu mpaka leo hawajui kusoma wala kuandika lakini wanapanda maindi na kuvuna na wanaishi na wake zao vizuri pasi na kujua kuandika na kusoma na wanaamini hayo yote ni katika maisha.

Au mambo ya kiimani mpaka ujue kuandika na kusoma?
 
Swali hilo ungewauliza wale wanaotuambia tusome badala ya kusimuliwa....
 
Je wanaozaliwa vipofu,vilema ,matahira walimkosea nini MUNGU
 
Back
Top Bottom