Tatizo mkuu ujinga ndo tatizo,samahani kama nakutukana ila sikuona neno lingine la kuweka hapo linalokustahiki kwa kuingilia sehemu nyeti kama hizo mkuu. Samahani sana kukuita mjinga(katika suala hilo)
Pili niseme kwamba hakuna aya inayosema walikutana saudia na nina hakika hujasoma quran ile maarufu(labda kuna ingine) sijui umetunga kichwani ama umeyatoa wapi nashindwa kuelewa kabisa yani
Ilikuwa useme tu ulikotoa hayo maandiko yako mabovu yenye uongo mwingi(nakuwa mkali kwa sababu unaongea pasi na elimu jambo ambalo ni baya sana)
Sipo kubishana ila lazima tudai marejeo kwa sababu imeisingizia quran uongo jambo ambalo ni ovu sana pia.
Unataka nielezee ukweli wangu kupitia kitabu changu cha imani(quran) ama nitumie utashi wa akili tu kama unavotumia wewe mkuu?