Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

Kwa mujibu wa quran nabii adam alipoumbwa akaja umbwa na hawa walikaakatika bustani za peponi wakiwa tayari mtu na mkewe.

Kisha walipoasi jambo ambalo waliambiwa wasiukaribie mti fulani huko kattika bustani za pepo,shetani akawapa mawazo mabaya wakaasi ile amri ya mola wao.

Kisha badala ya hapo Allah akawaleta duniani maisha yakaendelea..

Kwa ufupi iko hvyo
Sasa je, hiyo Bustani ya pepo ilikuwa wapi hapa duniani au mbinguni...maana umesema wakaletwa Duniani
 
Mkuu just to broaden your knowledge,Mungu wa kweli i.e the creator ni mmoja,ila unatakiwa ujue wapo na miungu wengine.ndiyo maana huyu wa kweli hujiita Mungu wa miungu na Bwana wa Mabwana,kasome Biblia utamjua.Na ili watu wasijesema ni story ,pia hujiita ni Mungu wa Israel na taifa la Israel lipo na litaendelea kuwepo mpaka mwisho.Na fuatilia utakubaliana na mimi Israel ndiyo habari ya dunia tukubali tukatae.Kwa hiyo miungu mingine ipo,inatoka wapi?Unaweza usipewe jibu ila hata Mungu the creator anatambua uwepo wa miungu wengine ndiyo maana hataki kufananishwa na miungu wengine au kitu chochote.
Eh... Mkuu, umetema upupu mtupu! Mungu the creator anatambua uwepo wa miungu mengine? Duh! hebu nipe maana ya Mungu kwanza...
 
Kumbukeni haya yote ni masimulizi... mlishawahi kujiuliza kwamba inakuwaje kama tumedanganywa??

Kwanini iwe ninaamini na isiwe ninajua/ninafahamu?...kipi bora kuamini au kujua...?

Kuna watu walikuwa hawajui kusoma, je hayo mambo ya vitabu wangeyajuaje????....
Mkuu hata kujua unaweza ukawa unajua yasiyo ya kweli.
 
Sasa je, hiyo Bustani ya pepo ilikuwa wapi hapa duniani au mbinguni...maana umesema wakaletwa Duniani
peponi ndiko bustanini huko mkuu.
Kwa sababu jannah(الجنة)kwa kiswahili ni bustani.hivyo unapoambiwa walikaa janna makusudio ndo walikaa peponi huko.

Kwa hvyo pepo kwa ujumla ndiyo bustani yenyewe hiyo .
 
Sasa swali langu la msingi lipo hapa Mungu alikusudia nini binaadamu wa kwanza kumuweka peponi ilhali alimuumba kwa lengo la kuja kuitawala Dunia kwanini asingemshusha tu duniani moja kwa moja mpaka pale walipokosea?
 
Swali linataka uchambuzi kwanza

"Alikusudia nini binadamu wa kwanza kumweka peponi"

Kwanza kabisa hatuwezi kujua makusudio ya Mungu mwenyewe mpaka atuambie kwamba kafanya hili kwa sababu hii na hii.

Mfano tu baba yako akuambie leo usiende kisimani au usifanye kitu fulani kwa kuwa unamheshimu hutofanya,ila utajiuliza maswali mengi kwa nini kanambia nisiende sehemu fulani(labda shule)hataki nisome,na kama hataki vipi aliniandikisha shule, au vipi?

Ila kwa kujiuliza huku hutopata jibu lake mpaka akuambie mwenyewe makusudio yake.
Sasa ikiwa makusudio ya binadamu mwenzio tu huwezi kuyajua mpaka akuambie vipi kwa Mungu alomuumba mwanadamu utayajuaje makusudio yake pasi na kuambiwa na mwenyewe?

Kusema kwamba
"Ilhali alimuumba kwa lengo la kuja duniani kutawala"

Hili naam aliumbwa kwa lengo hilo na limwtimia,au hakuja duniani ?

Kwa sababu ingekuwa hakufika duniani tungesema ni muongo kwa kuwa kafanya kinyume na alichowaambia malaika,ila ni kweli alimleta duniani na ndyo malengo hayo.

Mfano mtu kaaga ana Malengo ya kwenda Mtwara atafika baada ya wiki mbili,alafu wewe wiki ya kwanza ukamkuta lindi,na mwenzio wiki ya pili akamkuta mtwara kule ambako alikuwa na malengo nako.

Sasa utaweza kumhoji kwamba ilikuwaje na ulikuwa na malengo gani kuwa lindi wakati uliahidi unaenda mtwara?

Atakupa jibu rahisi atakuambia"mimi nilosema nitafika mtwara baada ya wiki mbili Na ndo nimefika kwa kuwa ndo yalikuwa malengo yangu"

Sasa ukisema vipi alipelekwa kwanza peponi wakati malengo aje duniani kutawala.

Nitakuuliza kwamba kama unakubali hayo ndo yalikuwa malengo JE yalitimia malengo ama hayakutimia?
 
Abuu Said upo?

Una mushkel gani tena ndugu yangu ?
Nipo mkuu...
Nipo pale pale kwa binaadam wa kwanza kuumbwa Adam na Hawa kikubwa ni kujua chanzo chetu na tuna majukumu gani duniani......
Inasemekana mtoto wa Adam Kabil alimuua mwenzie Nabil kisa ni Kabil kutokukubaliana na Nabil kumuoa Dada'ke....
Je Kabil baada ya kufanikisha kumuua Nabil ni nini kiliendelea kwa Kabil..... Kuna ngano zinasema alikimbilia mbali na kuanza maisha mapya sasa je huko alipokwenda alioa na kutengeneza familia?
 
Chanzo umeshakijua tayari mkuu na majukumu yalotuleta hapa umeshayajua mkuu Abuu said?
 
Nipo mkuu...
Nipo pale pale kwa binaadam wa kwanza kuumbwa Adam na Hawa kikubwa ni kujua chanzo chetu na tuna majukumu gani duniani......
Inasemekana mtoto wa Adam Kabil alimuua mwenzie Nabil kisa ni Kabil kutokukubaliana na Nabil kumuoa Dada'ke....
Je Kabil baada ya kufanikisha kumuua Nabil ni nini kiliendelea kwa Kabil..... Kuna ngano zinasema alikimbilia mbali na kuanza maisha mapya sasa je huko alipokwenda alioa na kutengeneza familia?
Hizo ngano umezisoma ngano za kutoka vitabu gani?
 
Asante mkuu kwa uchambuzi wenye kueleweka, source niliyoitumia Mimi inasema eti Adam na Hawa kila mmoja alitupiwa upande wake baadae sana wakaja kukutanishwa maeneo ya Saudia pale Makka wakaanza maisha mapya
Ok,soma biblia mkuu utajifunjza mengi,kuna watu wantuona sisi tumepotea lakini nikuhakikishie hatujapotea.Unapokuwa unajifunza biblia kuna mafunzo ya awali na kuna advanced.Kwa mfano kuna mtu nilikutana naye ndani ya bus,akasema Yesu hakuwepo tangu kuumbwa kwa dunia,akimanisha maisha ya Yesu yalianzia pale alipozaliwa na bikira Maria.Sasa huyu mtu niligundua ni mchanga kwa hiyo nilimwelimisha akawa amenielewa ila mumewe alimuumiza kwa kuwa katika imani fulani ambayo kiongozi alimwambia amwache mke wake aliyekuwa naye ambaye ni huyo mama niliyekuwa namwelimisha.
Kuwa na bidii soma biblia utashangaa.
Ni sawasawa na kesi moja jamaa alikuwa imani fulani alafu akiamka usiku anaomba "Baba Mungu naomba unipatie mke wakati mkewe yupo ndani".Imani za upotofu ni nyingi ila kama unayajua maandiko unajua tu kwamba kitabu cha Mithali 14:12 kinaelezea mtu kuwa katika njia ya upotevuni lakini kwake anaiona ni njia sahihi.Karibu tujifunze mkuu.
Pia kwa wale wazinzi maandiko yanasema "azinie na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakaloiangamiza nafsi yake".Sasa mtu anaweza akawa mzinzi akaona hayo ndiyo maisha,lakini athari za hiyo dhambi haijui au anaijua ila kwa lugha ya siku hizi vijana wanasema amejitoa ufahamu.
Wengi wana fanya uovu sirini lakini hawajui yeye atakayehukumu huwezi kumficha kitu chochote,kasome Mithali 15:3.
Regards
Aqua
 
Eh... Mkuu, umetema upupu mtupu! Mungu the creator anatambua uwepo wa miungu mengine? Duh! hebu nipe maana ya Mungu kwanza...
Ukitaka elimu zaidi karibu kwenye shule ya jumapili,njoo pm sema ukowapi nitakueleza uende wapi utafundishwa.
 
Chanzo chetu ni Adam na Hawa.....
Majukumu yetu ni kuitawala dunia au sio.....
Adam na Hawa ni wanadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu na aliwaumba kwa mfano wake,akawapulizia pumzi ya uhai.Pumzi hiyo ya uhai ikitoka kwa mtu tunasema amekufa.Muda mwingine tukisema mtu hatumanisi mwili huu unao onekana kwa macho ya nyama bali ni nafsi na Roho.Mtu anapokufa maana yake nafsi na Roho zinatengana na mwili,ila ukisoma biblia kuna andiko linasema "Neno la Mungu lina uwezo wa kutenganisha nafsi na Roho".
Kwa hiyo kama ambavyo biblia katika kitabu cha Warumi inasema "Mwanadamu ameandikiwa kufa mara moja na baada ya kifo ni hukumu".Mtu anapokufa wakati duniani mnahangaika na utaratibu wa mazishi,katika ulimwengu wa Roho nafsi yake inasimama mbele ya kiti cha hukumu(kumbuka nafsi inaambatana na Roho) kama aliishi maisha matakatifu atapelekwa paradiso ,amabko ni sehemu ya kungojea kuingia mbinguni hakuna mateso huko.Kama alikufa dhambini anapelekwa jehanamu ambako ni sehemu ya mateso ya awali akisubilia kutupwa kwenye ziwa la moto ambalo ni mauti ya pili.Please note "mauti ya pili" mauti ya kwanza ni ya mwili kutengana na nafsi na Roho hii hata watakatifu inawapata haina shida ni njia ya kutoka kwenye ulimwengu huu unao onekana kwenda kwenye ulimwengu wa kiroho,mauti ya pili itahusisha watu/nafsi pamoja na Roho za walioishi maisha machafu yasiyo mpendeza Mungu.Hapo kama msomaji utajua kuna mstari unasema "usimwogope awezaye kuangamiza mwili bali mwogope awezaye kuangamiza mwili pamoja na Roho na huyu si mwingine bali ni Mungu mwenyezi au Mungu wa Isarel.
Unataka kujifunza zaidi njoo kanisani mchana,achana na elimu za kuwapeleka kuzimu za kuita majini kwa mishumaa na siku hizi eti kuna mali za majini ambazo hazina mashariti.Wewe waweza ona hakuna mashariti lakini in spiritual realm umejiuza wewe na uzao wako kwa shetani,shetani ana akili kuliko mtu yeyote ambaye hajampokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wake.

Ahsante mkuu nimekupata....kumbe tuna nafsi na roho na inayosimama kwenye hukumu ni nafsi na sio roho....
Kwenye uislaam kuna sema ukishakufa huondolewa roho alaf baada ya kuingia kaburini hurudishiwa km ni mkosefu adhabu zinaanzia hapo na kama ulikuwa unatenda mema utaishi vizuri tu humo hadi siku ya hesabu
cc Abuhafsa
 
Ok,soma biblia mkuu utajifunjza mengi,kuna watu wantuona sisi tumepotea lakini nikuhakikishie hatujapotea.Unapokuwa unajifunza biblia kuna mafunzo ya awali na kuna advanced.Kwa mfano kuna mtu nilikutana naye ndani ya bus,akasema Yesu hakuwepo tangu kuumbwa kwa dunia,akimanisha maisha ya Yesu yalianzia pale alipozaliwa na bikira Maria.Sasa huyu mtu niligundua ni mchanga kwa hiyo nilimwelimisha akawa amenielewa ila mumewe alimuumiza kwa kuwa katika imani fulani ambayo kiongozi alimwambia amwache mke wake aliyekuwa naye ambaye ni huyo mama niliyekuwa namwelimisha.
Kuwa na bidii soma biblia utashangaa.
Ni sawasawa na kesi moja jamaa alikuwa imani fulani alafu akiamka usiku anaomba "Baba Mungu naomba unipatie mke wakati mkewe yupo ndani".Imani za upotofu ni nyingi ila kama unayajua maandiko unajua tu kwamba kitabu cha Mithali 14:12 kinaelezea mtu kuwa katika njia ya upotevuni lakini kwake anaiona ni njia sahihi.Karibu tujifunze mkuu.
Pia kwa wale wazinzi maandiko yanasema "azinie na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakaloiangamiza nafsi yake".Sasa mtu anaweza akawa mzinzi akaona hayo ndiyo maisha,lakini athari za hiyo dhambi haijui au anaijua ila kwa lugha ya siku hizi vijana wanasema amejitoa ufahamu.
Wengi wana fanya uovu sirini lakini hawajui yeye atakayehukumu huwezi kumficha kitu chochote,kasome Mithali 15:3.
Regards
Aqua
Biblia inasemaje kuhusu mtoto wa Adam mkubwa kumuua mwenzie mdogo....Mimi ninavyojua kisa kilikua kwamba Mtoto mkubwa wa Adam hakutaka pacha wake aolewe na mdogo wake
 
Ahsante mkuu nimekupata....kumbe tuna nafsi na roho na inayosimama kwenye hukumu ni nafsi na sio roho....
Kwenye uislaam kuna sema ukishakufa huondolewa roho alaf baada ya kuingia kaburini hurudishiwa km ni mkosefu adhabu zinaanzia hapo na kama ulikuwa unatenda mema utaishi vizuri tu humo hadi siku ya hesabu
cc Abuhafsa
Nilikuuliza Abuu Said hizo habari za ngano za watoto wa adam umezitoa katika kitabu gani mkuu?
 
Back
Top Bottom