Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Mawe hayakuangamiza wanyama wa kale. Matokeo ya huo mgongano ndo yaliangamiza hivyo viumbe. Ni wadudu wadogo sana na bacteria na micro org ndo vingesurvive baada ya hili tukio kama lilitokea.Kama hayo mawe makubwa yali lipuka na kuangamiza dinosaurs wote duniani, Je kulikuwa hakuna viumbe wengine wowote duniani au kulikuwa hakuna hata mimea?
Je viumbe wengine na binadamu walikujaje kuwepo tena duniani?
Na walitokea wapi, maana kumbuka hayo mawe yalilipua kila kitu.
Sasa binadamu aliwezaje kuwepo duniani na alitokea wapi?
Maana dunia ilikuwa imelipuliwa na hayo mawe makubwa.
Chukulia dunia kama chumba kikubwa kilichojengwa katikati ya hewa na mionzi isiyosapoti maisha.
Chumba kina madirisha ya kioo na AC inayosaidia kuchuja hewa safi mnayovuta wewe na mkeo na wanao na Vioo vinazuia sumu, mionzi na kemikali iliyopo nje isiingie ndani.
Mmekaa zenu mkivuta hewa likatupwa jiwe sijui na nani huko na kuvunja kioo, mionzi ikaharibu AC, mtakufa wote humo ndani sio kwa kugongwa na jiwe.