Je, binadamu wapo katika hatari ya kutoweka kwenye uso wa Dunia?

Je, binadamu wapo katika hatari ya kutoweka kwenye uso wa Dunia?

Sasa viumbe wengine walitokea wapi?

Na walikujaje duniani?

Kama kipindi cha Dinosaurs kulikuwa hakuna viumbe wengine wowote, Tembo na wanyama wengine wote walianzaje na waliwezaje kuwepo duniani?
Na nani aliewarekodi maisha yao kama walikuwepo wenyewe...
 
Kama Dinosaurs tu walishindwa kuhimili milipuko ya hizo Asteroids, Je viumbe wengine ni non -flammable?
Kwa nini unaongelea milipuko na flammability??
Kuna mtu kakuambia kulitokea moto uliochoma dunia??
 
Viumbe wanaotajwa kupotea sana kutokana na Asteroids sanasana ni Dinosaurs, Je hao viumbe wengine ni viumbe vipi hao?

Wataje.

Viumbe wengine waliwezaje kuhimili matokeo mabaya ya hali ya hewa waka survive?

Dinosaurs walishindwaje kuhimili matokeo hayo mabaya ya hali ya hewa kama viumbe wengine ili na wao wa survive?
Dinosaurs wanatajwa sana kwa sababu ndio waliokuwa viumbe muhimu/maarufu kipindi hicho na pia kwa sababu fossils zao ndizo zimepatikana katika kiwango cha kuridhisha kufanyiwa utafiti.
 
Kwa nini unaongelea milipuko na flammability??
Kuna mtu kakuambia kulitokea moto uliochoma dunia??
Kuna aina ngapi za milipuko?

Kuna mdau hapo juu alisema kwamba baada ya Asteroids kuanguka duniani zilileta milipuko ya volcano.

Ndio nilikuwa namjibu.
 
Na nani aliewarekodi maisha yao kama walikuwepo wenyewe...
Fossil records na miamba kuna taarifa nyingi sana za dunia na viumbe kwa mabilioni ya miaka.
 
Dinosaurs wanatajwa sana kwa sababu ndio waliokuwa viumbe muhimu/maarufu kipindi hicho na pia kwa sababu fossils zao ndizo zimepatikana katika kiwango cha kuridhisha kufanyiwa utafiti.
Sasa kama ni Dinosaurs tu ndio fossils zao zimepatikana, Hao viumbe wengine ambao ulisema kwamba walitoweka ni viumbe gani?

Je viumbe wengine wowote hawakuwepo duniani kipindi cha Dinosaurs?
 
Hizo species zingine ziliwezaje ku adapt mazingira?

Zili adapt mazingira kivipi maana kulikuwa na athari za Asteroids duniani na hiyo milipuko iliathiri dunia sana?
Kwa sababu species nyingine zilikuwa hazitumii muda mrefu kuzaa kama Dinosaurs,
Kwa sababu species nyingine kama Mamba wanaweza kuishi hata miaka miwili bila kula chakula
Kuku ambao ni ndugu zao Dinasours lakini wenye miili midogo tunao mpaka leo.
 
Kwa hiyo kipindi cha dinosaurs binadamu na tembo nao walikuwepo?
Kama hawakuwepo hizi taarifa za kwamba dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 zilitoka kwa nani na kwa uthibitisho upi?

Kama binadamu hawakuwepo duniani kipindi cha Dinosaurs, Hizi taarifa zote za Dinosaurs na matukio ya Asteroids kuanguka, zilirekodiwa na nani?

Kama binadamu hawakuwepo duniani, hizi taarifa za Dinosaurs zina ukweli kiasi gani au zimetiwa chumvi?
 
Sasa hilo ndio jiwe kubwa?

Mleta mada anasema kwamba kulianguka mawe makubwa.

Huo ni mfano sahihi, kama dogo liliweza anguka basi Hata Kubwa linaweza aunguka.

Kumbuka nguvu itokanayo na kuangua hili jiwe unaliona ni dogo, ni Kubwa Kwa sababu ya speed yake. Ni sawa na risasi ndogo lakini speed yake ndio inawezesha nguvu.

Kanuni ya E=MC², inakuambua mbu akiweza kwenda speed ya kama ya Mwanga, akigongana na train itasambaratishwa.
 
Kwa sababu species nyingine zilikuwa hazitumii muda mrefu kuzaa kama Dinosaurs,
Dinosaurs walitumia miaka mingapi kuzaa?
Kwa sababu species nyingine kama Mamba wanaweza kuishi hata miaka miwili bila kula chakula
Kuku ambao ni ndugu zao Dinasours lakini wenye miili midogo tunao mpaka leo.
 
Sasa kama ni Dinosaurs tu ndio fossils zao zimepatikana, Hao viumbe wengine ambao ulisema kwamba walitoweka ni viumbe gani?

Je viumbe wengine wowote hawakuwepo duniani kipindi cha Dinosaurs?
Sijasema ni Dinosaurs tu ndio fossils zao zimepatakina. Acha kupindisha maneno. Nimesema Dinosaurs fossils zao zimepatikana katika kiwango cha kuridhisha. Hata mahakamni unaweza kupeleka ushahidi ukaambiwa hautoshelezi, japo ni ushahidi lakini usiwe na msaada wowote katika kesi.
 
Huo ni mfano sahihi, kama dogo liliweza anguka basi Hata Kubwa linaweza aunguka.

Kumbuka nguvu itokanayo na kuangua hili jiwe unaliona ni dogo, ni Kubwa Kwa sababu ya speed yake. Ni sawa na risasi ndogo lakini speed yake ndio inawezesha nguvu.

Kanuni ya E=MC², inakuambua mbu akiweza kwenda speed ya kama ya Mwanga, akigongana na train itasambaratishwa.
Hayo mawe yalianguka ardhini tu yakafanya Dinosaurs tu watoweke?

Sasa viumbe wengine waliwezaje kutokea duniani baada ya athari za mawe hayo?
 
Back
Top Bottom