Na nani aliewarekodi maisha yao kama walikuwepo wenyewe...Sasa viumbe wengine walitokea wapi?
Na walikujaje duniani?
Kama kipindi cha Dinosaurs kulikuwa hakuna viumbe wengine wowote, Tembo na wanyama wengine wote walianzaje na waliwezaje kuwepo duniani?
Kwa nini unaongelea milipuko na flammability??Kama Dinosaurs tu walishindwa kuhimili milipuko ya hizo Asteroids, Je viumbe wengine ni non -flammable?
Viumbe havitoki mahali.Kwan dinosaurs walitokea wapi?
Chini hapo ni mfano tu wa hizi dhama zetu, kimondo kilianguka. Hapa Tanzania ukienda Mbeya kuna sehemu kuna jiwe la uthibitisho piaMimi sidhani kama kuna mawe makubwa yalianguka duniani.
Hizi ni stori tu, zisizo na uthibitisho wowote. Ni stori zisizo na logic.
Dinosaurs wanatajwa sana kwa sababu ndio waliokuwa viumbe muhimu/maarufu kipindi hicho na pia kwa sababu fossils zao ndizo zimepatikana katika kiwango cha kuridhisha kufanyiwa utafiti.Viumbe wanaotajwa kupotea sana kutokana na Asteroids sanasana ni Dinosaurs, Je hao viumbe wengine ni viumbe vipi hao?
Wataje.
Viumbe wengine waliwezaje kuhimili matokeo mabaya ya hali ya hewa waka survive?
Dinosaurs walishindwaje kuhimili matokeo hayo mabaya ya hali ya hewa kama viumbe wengine ili na wao wa survive?
Kuna aina ngapi za milipuko?Kwa nini unaongelea milipuko na flammability??
Kuna mtu kakuambia kulitokea moto uliochoma dunia??
Kwa hiyo kipindi cha dinosaurs binadamu na tembo nao walikuwepo?Viumbe havitoki mahali.
Viumbe vyote vipo duniani.
Hata hao Dinosaurs walikuwepo duniani.
Fossil records na miamba kuna taarifa nyingi sana za dunia na viumbe kwa mabilioni ya miaka.Na nani aliewarekodi maisha yao kama walikuwepo wenyewe...
kilipo gonga kilienda wapi?Ni shimo Crater kubwa lililopo huko Yacatan nchini Mexico , lina upana wa kilomita 150+ .Ni ushahidi kwamba kuna kitu kiligonga kikatengeneza hilo shimo mathalani Kimondo....
Yaje yadodondoke Tanganyika ili kianze kizazi kingine kisicho ijua ccm na Mbowe ili Tanganyika iwe salama.hayo mawe yalio waangukia akina dinosaurios yako wapi?
wewe nishoga?mkuuHayakuwaangukia bali kuanguka kwa asteroids duniani kulivuruga tabianchi/hali ya hewa iliyopelekea viumbe wengi wakiwemo Dinosaurs kufa na kupotea kabisa.
Sasa kama ni Dinosaurs tu ndio fossils zao zimepatikana, Hao viumbe wengine ambao ulisema kwamba walitoweka ni viumbe gani?Dinosaurs wanatajwa sana kwa sababu ndio waliokuwa viumbe muhimu/maarufu kipindi hicho na pia kwa sababu fossils zao ndizo zimepatikana katika kiwango cha kuridhisha kufanyiwa utafiti.
Sasa hilo ndio jiwe kubwa?Chini hapo ni mfano tu wa hizi dhama zetu, kimondo kilianguka. Hapa Tanzania ukienda Mbeya kuna sehemu kuna jiwe la uthibitisho pia
View: https://youtu.be/gRrdSwhQhY0?si=eizbgm_LhCjS99C3
Mbeya
Kama stori za kitabu cha kabenderaMimi sidhani kama kuna mawe makubwa yalianguka duniani.
Hizi ni stori tu, zisizo na uthibitisho wowote. Ni stori zisizo na logic.
Kwa sababu species nyingine zilikuwa hazitumii muda mrefu kuzaa kama Dinosaurs,Hizo species zingine ziliwezaje ku adapt mazingira?
Zili adapt mazingira kivipi maana kulikuwa na athari za Asteroids duniani na hiyo milipuko iliathiri dunia sana?
Kama hawakuwepo hizi taarifa za kwamba dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 zilitoka kwa nani na kwa uthibitisho upi?Kwa hiyo kipindi cha dinosaurs binadamu na tembo nao walikuwepo?
Sasa hilo ndio jiwe kubwa?
Mleta mada anasema kwamba kulianguka mawe makubwa.
Dinosaurs walitumia miaka mingapi kuzaa?Kwa sababu species nyingine zilikuwa hazitumii muda mrefu kuzaa kama Dinosaurs,
Kwa sababu species nyingine kama Mamba wanaweza kuishi hata miaka miwili bila kula chakula
Kuku ambao ni ndugu zao Dinasours lakini wenye miili midogo tunao mpaka leo.
Sijasema ni Dinosaurs tu ndio fossils zao zimepatakina. Acha kupindisha maneno. Nimesema Dinosaurs fossils zao zimepatikana katika kiwango cha kuridhisha. Hata mahakamni unaweza kupeleka ushahidi ukaambiwa hautoshelezi, japo ni ushahidi lakini usiwe na msaada wowote katika kesi.Sasa kama ni Dinosaurs tu ndio fossils zao zimepatikana, Hao viumbe wengine ambao ulisema kwamba walitoweka ni viumbe gani?
Je viumbe wengine wowote hawakuwepo duniani kipindi cha Dinosaurs?
Hayo mawe yalianguka ardhini tu yakafanya Dinosaurs tu watoweke?Huo ni mfano sahihi, kama dogo liliweza anguka basi Hata Kubwa linaweza aunguka.
Kumbuka nguvu itokanayo na kuangua hili jiwe unaliona ni dogo, ni Kubwa Kwa sababu ya speed yake. Ni sawa na risasi ndogo lakini speed yake ndio inawezesha nguvu.
Kanuni ya E=MC², inakuambua mbu akiweza kwenda speed ya kama ya Mwanga, akigongana na train itasambaratishwa.