Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

The guilty are afraid
 
Wasiwasi ndio akili mkuu!
 
Negativity at its best. Yaani mtu kuishabikia timu yetu ya taifa akiwa na rangi tofauti na ya kwetu imekuwa tatizo mpaka tudhanie ana nia ovu na nchi yetu ? Somo kubwa toka kwake ni kuwa tujifunze uzalendo na tuthamini vyetu hata kama havina hadhi kubwa. Haya ndio masomo makubwa najifunza toka kwake.
 
mwenyeweee anasema niite bongo zozo au Kaka usiniite mzungu.
 


🤣🤣🤣🤣toka juzi nakumbuka ile comment yako nacheka hahhaha na leo umeirudia tena hhhahahaahhaahhaahahahahah uwiii
 
asante sana kwa mtazamo wako, sio hao wanaotoa mapovu ya omo
 
huo ni mtazamo wako siupingi
 
Yaa jamaa ameuliza swali fikirishi Ila anajibiwa kejeli wapelelezi hawanaga mbinu moja
majibu yanayotolewa unaweza ukaona kabisa level ya mtu ya uelewa wa mambo
 
Hoja yako sio ya kupuuzwa japo watu wanakupinga.. Unaweza kuta hata ni undercover agent wa CIA
Undercover unafikiri wanajiexpose hivyo.. Kujiweka mbele ya makamera kiasi hicho.. Jamaa yule yuko real sana na kuishi kwake TZ muda mrefu kunaonekana katika namna anavyozungumza kiswahili fasaha na ndiyo maana pia kawa na mapenzi na TZ. Mbona yuko wazi sana katika hili!! Sema tu kuna nati kama zimekata.
 
Japo watakupuuza lkn hoja yako ina mashiko sana, mtu mweupe hawezi kuwa na mapenzi ya dhati kwa taifa jingine haiwezekani hapo kuna kitu, yeye huyo Bongo zozo kipindi alichokuwepo hapa tz alikuwa anafanya shughuli gani? na Sasa anafanya shughuli gani huko uingereza kiasi Cha kuja kugawa ticket bure? km yeye nishabiki na mpnzi wa taifa star kuna ulazima gani wa kujitangaza kwy media na kuandaa wanna habari wampokee airport? kushabikia manchester au Liverpool na club zingine kwa sisi ni swala la kawaida sana kwa sababu hizo sio timu za taifa, hizo timu zimebeba wachezaja wa nchi mbalimbali duniani ikiwemo na afrika. kwa hiyo hapo kwy hoja ya jamaa kuna swala fikirishi sio bure.
 
HAHAHA, Nati zimekata, daaah sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…