Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,282
Kwa ufupi utamaduni wetu ni duni sana kama utamaduni wao ndio mfano wa kuigwa.
Sababu kubwa inayowafanya watubague tukienda huko makwao sio rangi ya ngozi yetu, hapana, ni utamaduni wetu. Sasa mfano mzuri uko hapahapa nchini ambako kuna baadhi ya watu wa makabila fulani wanaona tamaduni za watu wa makabila mengine ni duni sana (uchafu, lishe mbovu, maendeleo, ushirikina n.k)