Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,282
Amapiano, diano😁😁
Anasema vijana wanaxhowaza ni kucheza mziki na ngono tu
It's a big vibe, all the girls dem know
Steadily, steadily
Heavily, we are getting lit
Hivi Jacob Zuma ana wake wangapi?
Amapiano, diano😁😁
Anasema vijana wanaxhowaza ni kucheza mziki na ngono tu
Kuna mtu alisema Viongozi huzaliwa....u know what it means, sio hawa wanaoutafuta uongoziWewe ndo umemuona, sasa jiulize ni wangapi wameng'amua hilo kama wewe na ni wangapi hata hawaelewi kwamba Prof haitumii elimu yake. Utagundua katika kundi lako ni wachache sana na ndio maana prof anafanya hivyo kwakua nchi hii bado Ina wa***** wengi.
Tukishaelimika wote mambo yatabadilika, shida hawataki tuelimike kwenye haya maswala ya siasa na utawala, nadhani umenielewa mkuu
So u think he was lying? Chimpazee's mindset🤣🤣🤣Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi.
Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech"
ALISEMA:
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki watauana; Wapeni madaraka wataiba pesa zote za serikali; Wape uhuru na demokrasia wataitumia kuendeleza ukabila, ubaguzi, chuki, mauaji na vita!”
"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana. Hawafai kitu kingine isipokuwa kufanya kelele, kucheza, kuoa wake wengi na kujiingiza katika ngono. Sote tukubali kwamba Mtu Mweusi ni ishara ya umaskini, unyonge wa kiakili, uvivu na uzembe wa kihisia"
Maneno haya yanaeneza chuki na ubaguzi dhidi ya watu weusi na hayana ukweli wowote. Ni muhimu kukumbuka kuwa akili na uwezo wa uongozi haviambatani na rangi ya ngozi. Historia inaonyesha mifano mingi ya watu weusi waliofanikiwa na wenye akili, kuanzia watawala na wanasayansi wa kale hadi viongozi na wabunifu wa kisasa.Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi.
Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech"
ALISEMA:
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki watauana; Wapeni madaraka wataiba pesa zote za serikali; Wape uhuru na demokrasia wataitumia kuendeleza ukabila, ubaguzi, chuki, mauaji na vita!”
"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana. Hawafai kitu kingine isipokuwa kufanya kelele, kucheza, kuoa wake wengi na kujiingiza katika ngono. Sote tukubali kwamba Mtu Mweusi ni ishara ya umaskini, unyonge wa kiakili, uvivu na uzembe wa kihisia"
Anaweza akazaliwa kiongozi ila kwa kiwango cha ujinga cha wananchi na utamaduni wa kiutawala uliojengwa na Chama kidumu atapata wakati mgumu sana. Bado zinahitajika juhudi za kuelimika Kwa wananchi wenyewe bila kusukumwa na kubembelezwa.Kuna mtu alisema Viongozi huzaliwa....u know what it means, sio hawa wanaoutafuta uongozi
You are very right 🤝Anaweza akazaliwa kiongozi ila kwa kiwango cha ujinga cha wananchi na utamaduni wa kiutawala uliojengwa na Chama kidumu atapata wakati mgumu sana. Bado zinahitajika juhudi za kuelimika Kwa wananchi wenyewe bila kusukumwa na kubembelezwa.
Hakuna kitu kina thamani kama maarifa, sasa mwananchi akiona wanawe wanapewa bila malipo huku wengine wakiteketeza mamilioni anapaswa kushtuka!
Sidhani kama Botha alimaanisha madhaifu hayo ya mtu mweusi ni kwasababu ya rangi ya ngozi yake, hapana. Amezungumzia tabia zao na tamaduni zao.Maneno haya yanaeneza chuki na ubaguzi dhidi ya watu weusi na hayana ukweli wowote. Ni muhimu kukumbuka kuwa akili na uwezo wa uongozi haviambatani na rangi ya ngozi. Historia inaonyesha mifano mingi ya watu weusi waliofanikiwa na wenye akili, kuanzia watawala na wanasayansi wa kale hadi viongozi na wabunifu wa kisasa.
Uongozi na maendeleo ya jamii vinategemea mambo mengi kama vile elimu, utawala bora, uadilifu, umoja na rasilimali, siyo rangi ya mtu. Matatizo yanayokabili nchi fulani hayapaswi kuhusishwa na rangi ya watu wake, bali na changamoto maalum za kisiasa, kiuchumi na kijamii zinazowakabili.
Watu weusi, kama ilivyo kwa binadamu wengine wote, wana uwezo mkubwa wa kufanya mambo makubwa. Ni muhimu kupinga ubaguzi wa aina yoyote na kuthamini utofauti wa kila mmoja wetu.
kwahiyo wakichagua rais anayeishi ufaransa ndio waafrika wote ni hawana akili? Anyway nisibishane na wewe coz wewe ni kati ya waafrica ambao ni brainwashed!Kwanza mimi huwa nina wasiwasi waafrika sio binadamu kamili mifano iko mingi ya kuonyesha waafrika sio binadamu kamili angalia mfano tu hapo Cameroon wanachagua Rais ambae anaishi Ufaransa
okay ni mawazo yako! Ila mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba africans are genious lakini tunacheleweshwa na watu wachache ambao hakuna nchi hawajawahi kutokea!Hui ndio ukweli utake usitake, watu weusi inatakiwa watawaliwe tena wapigwe miledi.
Waafrika sio binadamu kamili mwenyewe siwezi kubishana na wewekwahiyo wakichagua rais anayeishi ufaransa ndio waafrika wote ni hawana akili? Anyway nisibishane na wewe coz wewe ni kati ya waafrica ambao ni brainwashed!
wewe msen.ge unasemaje? Unalombwa msen.ge wewe na leo ndio mwisho wangu kucomment kwenye threads zako. Na natangaza kwamba we ndio adui yangu namba moja humu jf! K**ma..wewe! Yaani nilikuwa nakuona mtu wa maana kipindi nasoma post zako wakati ambapo bado sijajiunga na jf ila kumbe wewe ni mseng..e?Kwanza tu ku-prove akili yake ni mbovu ameweza ku conclude kwamba mimi nimekubaliana na maandishi ya botha wakati mimi nimeyaleta yaweze kuwa discussed.
MPUMBAVU HUANZA MWISHO KWENDA MWANZO.
alafu na wewe mzungu pori temana na mimi nimeishavurugwa.Waafrika sio binadamu kamili mwenyewe siwezi kubishana na wewe
Hao wanaotuchelewsha ni Waafrika wenzetu, kuna nchi yoyote Africa ambayo unaiona ipo katika njia sahihi?okay ni mawazo yako! Ila mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba africans are genious lakini tunacheleweshwa na watu wachache ambao hakuna nchi hawajawahi kutokea!
Hii inaukweli angalivia viongozi was ki Afrika wengi wakipata madaraka ufisadi na mauji dhidi ya RAIABotha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi.