HakikaKwa ufupi utamaduni wetu ni duni sana kama utamaduni wao ndio mfano wa kuigwa.
Sababu kubwa inayowafanya watubague tukienda huko makwao sio rangi ya ngozi yetu, hapana, ni utamaduni wetu. Sasa mfano mzuri uko hapahapa nchini ambako kuna baadhi ya watu wa makabila fulani wanaona tamaduni za watu wa makabila mengine ni duni sana (uchafu, lishe mbovu, maendeleo, ushirikina n.k)
Elimu, tuzidi kuelimika, itafika wakati ambao watatukubali kwakua tumeshakuwa civilized kwa asilinia kubwa.Sasa wazee suluhisho ni nini?
Tuajiri wazungu wa kutuongoza?
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Elimu, tuzidi kuelimika, itafika wakati ambao watatukubali kwakua tumeshakuwa civilized kwa asilinia kubwa.
Anglia maeneo ambayo hayakufanyiwa master planning, nyumba za thamani nzuri tu ila zimejengwa kiholela. Maeneo yenye master plan nayo baada ya muda wanaanza kukata room na kuotesha vibanda huko ndani ya plot kukidhi soko la wapangaji, ghafla kunakuwa shaghalabagala. Huyu anauza mkaa hapa, huyu anakaanga samaki pale na kuna 'chemba' ya maji taka hapohapo na watu wanakula fresh tu.
UJINGA ndio adui wa taifa, hao wengine kama maradhi na umasikini ni matokeo tu ya ujinga.
ELIMU
Hui ndio ukweli utake usitake, watu weusi inatakiwa watawaliwe tena wapigwe miledi.Na wewe umekubaliana na alichokisema? Kweli wewe ni nyani!
Kwanza tu ku-prove akili yake ni mbovu ameweza ku conclude kwamba mimi nimekubaliana na maandishi ya botha wakati mimi nimeyaleta yaweze kuwa discussed.Hui ndio ukweli utake usitake, watu weusi inatakiwa watawaliwe tena wapigwe miledi.
Aiseeee, Botha hataree sanaa sanaa πBotha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi.
Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech"
ALISEMA:
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki watauana; Wapeni madaraka wataiba pesa zote za serikali; Wape uhuru na demokrasia wataitumia kuendeleza ukabila, ubaguzi, chuki, mauaji na vita!β
"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana. Hawafai kitu kingine isipokuwa kufanya kelele, kucheza, kuoa wake wengi na kujiingiza katika ngono. Sote tukubali kwamba Mtu Mweusi ni ishara ya umaskini, unyonge wa kiakili, uvivu na uzembe wa kihisia"
Alisema vijana/ mtu mweusi anapenda wanawake wenye matako makubwa.ππ
Anasema vijana wanaxhowaza ni kucheza mziki na ngono tu
Kwanza mimi huwa nina wasiwasi waafrika sio binadamu kamili mifano iko mingi ya kuonyesha waafrika sio binadamu kamili angalia mfano tu hapo Cameroon wanachagua Rais ambae anaishi UfaransaNa wewe umekubaliana na alichokisema? Kweli wewe ni nyani!
πππKwanza waafrika sio binadamu kamili bado tuko kwenye mabadiliko ya kua binadamu kamili angalia kesi ya Lissu na akili ya Lissu angalia na wanaogombea urais utaona anyaefaa kua raisi wanapambana wa mnyonge
Mkuu hata Kabudi na elimu yake ameifanyia nini Tanzania? sasa kabaki anamsifia Mama elimu yake iko wapi?Elimu, tuzidi kuelimika, itafika wakati ambao watatukubali kwakua tumeshakuwa civilized kwa asilinia kubwa.
Anglia maeneo ambayo hayakufanyiwa master planning, nyumba za thamani nzuri tu ila zimejengwa kiholela. Maeneo yenye master plan nayo baada ya muda wanaanza kukata room na kuotesha vibanda huko ndani ya plot kukidhi soko la wapangaji, ghafla kunakuwa shaghalabagala. Huyu anauza mkaa hapa, huyu anakaanga samaki pale na kuna 'chemba' ya maji taka hapohapo na watu wanakula fresh tu.
UJINGA ndio adui wa taifa, hao wengine kama maradhi na umasikini ni matokeo tu ya ujinga.
ELIMU
Asee M'bongo sehemu ya kazi bila usimamizi anasumbua kama mbuzi. (Wengi wao)Hui ndio ukweli utake usitake, watu weusi inatakiwa watawaliwe tena wapigwe miledi.
Umesema kweli boss, kuna muda najiulizaga sana jinsi namna dunia inavyoelekea gizani , hamna cha ubinadamu wala mambo ya kutii sheria.Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi.
Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech"
ALISEMA:
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki watauana; Wapeni madaraka wataiba pesa zote za serikali; Wape uhuru na demokrasia wataitumia kuendeleza ukabila, ubaguzi, chuki, mauaji na vita!β
"Kwa sasa kila mmoja wetu ameona kwa vitendo kwamba Weusi hawawezi kujitawala wenyewe. Wape bunduki na watauana. Hawafai kitu kingine isipokuwa kufanya kelele, kucheza, kuoa wake wengi na kujiingiza katika ngono. Sote tukubali kwamba Mtu Mweusi ni ishara ya umaskini, unyonge wa kiakili, uvivu na uzembe wa kihisia
Wewe ndo umemuona, sasa jiulize ni wangapi wameng'amua hilo kama wewe na ni wangapi hata hawaelewi kwamba Prof haitumii elimu yake. Utagundua katika kundi lako ni wachache sana na ndio maana prof anafanya hivyo kwakua nchi hii bado Ina wa***** wengi.Mkuu hata Kabudi na elimu yake ameifanyia nini Tanzania? sasa kabaki anamsifia Mama elimu yake iko wapi?