Je, Botha alikuwa sahihi kuhusu sisi watu weusi au basi tu alikuwa anacheza "MIND GAMES"?

😁😁

Anasema vijana wanaxhowaza ni kucheza mziki na ngono tu
Amapiano, diano
It's a big vibe, all the girls dem know
Steadily, steadily
Heavily, we are getting lit

Hivi Jacob Zuma ana wake wangapi?
 
Amapiano, diano
It's a big vibe, all the girls dem know
Steadily, steadily
Heavily, we are getting lit

Hivi Jacob Zuma ana wake wangapi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mtu alisema Viongozi huzaliwa....u know what it means, sio hawa wanaoutafuta uongozi
 
So u think he was lying? Chimpazee's mindset🀣🀣🀣
 
Maneno haya yanaeneza chuki na ubaguzi dhidi ya watu weusi na hayana ukweli wowote. Ni muhimu kukumbuka kuwa akili na uwezo wa uongozi haviambatani na rangi ya ngozi. Historia inaonyesha mifano mingi ya watu weusi waliofanikiwa na wenye akili, kuanzia watawala na wanasayansi wa kale hadi viongozi na wabunifu wa kisasa.
Uongozi na maendeleo ya jamii vinategemea mambo mengi kama vile elimu, utawala bora, uadilifu, umoja na rasilimali, siyo rangi ya mtu. Matatizo yanayokabili nchi fulani hayapaswi kuhusishwa na rangi ya watu wake, bali na changamoto maalum za kisiasa, kiuchumi na kijamii zinazowakabili.
Watu weusi, kama ilivyo kwa binadamu wengine wote, wana uwezo mkubwa wa kufanya mambo makubwa. Ni muhimu kupinga ubaguzi wa aina yoyote na kuthamini utofauti wa kila mmoja wetu.
 
Kuna mtu alisema Viongozi huzaliwa....u know what it means, sio hawa wanaoutafuta uongozi
Anaweza akazaliwa kiongozi ila kwa kiwango cha ujinga cha wananchi na utamaduni wa kiutawala uliojengwa na Chama kidumu atapata wakati mgumu sana. Bado zinahitajika juhudi za kuelimika Kwa wananchi wenyewe bila kusukumwa na kubembelezwa.
Hakuna kitu kina thamani kama maarifa, sasa mwananchi akiona wanawe wanapewa bila malipo huku wengine wakiteketeza mamilioni anapaswa kushtuka!
 
You are very right 🀝
 
Sidhani kama Botha alimaanisha madhaifu hayo ya mtu mweusi ni kwasababu ya rangi ya ngozi yake, hapana. Amezungumzia tabia zao na tamaduni zao.
Anazungumizia watu ambao hawakua na utamaduni wa kuandika! Historia yao inaanza baada ya mzungu kuja kwao (Karne ya 15), wakati mzungu eye ana maandiko ya watu wake toka karne ya 1
 
Kwanza mimi huwa nina wasiwasi waafrika sio binadamu kamili mifano iko mingi ya kuonyesha waafrika sio binadamu kamili angalia mfano tu hapo Cameroon wanachagua Rais ambae anaishi Ufaransa
kwahiyo wakichagua rais anayeishi ufaransa ndio waafrika wote ni hawana akili? Anyway nisibishane na wewe coz wewe ni kati ya waafrica ambao ni brainwashed!
 
Hui ndio ukweli utake usitake, watu weusi inatakiwa watawaliwe tena wapigwe miledi.
okay ni mawazo yako! Ila mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba africans are genious lakini tunacheleweshwa na watu wachache ambao hakuna nchi hawajawahi kutokea!
 
kwahiyo wakichagua rais anayeishi ufaransa ndio waafrika wote ni hawana akili? Anyway nisibishane na wewe coz wewe ni kati ya waafrica ambao ni brainwashed!
Waafrika sio binadamu kamili mwenyewe siwezi kubishana na wewe
 
Kwanza tu ku-prove akili yake ni mbovu ameweza ku conclude kwamba mimi nimekubaliana na maandishi ya botha wakati mimi nimeyaleta yaweze kuwa discussed.

MPUMBAVU HUANZA MWISHO KWENDA MWANZO.
wewe msen.ge unasemaje? Unalombwa msen.ge wewe na leo ndio mwisho wangu kucomment kwenye threads zako. Na natangaza kwamba we ndio adui yangu namba moja humu jf! K**ma..wewe! Yaani nilikuwa nakuona mtu wa maana kipindi nasoma post zako wakati ambapo bado sijajiunga na jf ila kumbe wewe ni mseng..e?
 
okay ni mawazo yako! Ila mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba africans are genious lakini tunacheleweshwa na watu wachache ambao hakuna nchi hawajawahi kutokea!
Hao wanaotuchelewsha ni Waafrika wenzetu, kuna nchi yoyote Africa ambayo unaiona ipo katika njia sahihi?
 
Hii inaukweli angalivia viongozi was ki Afrika wengi wakipata madaraka ufisadi na mauji dhidi ya RAIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…