Je, Brenda Rupia alimvalisha Kitanzi Tundu Lissu kwa ushahidi wake?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
F7EC31D8-6B06-4C35-BF44-5E3B48833D88.jpeg

Kesi inapoanza mfano wa Shati la Jamuhuri kuwa jeupe na safi kazi ya Mshtakiwa au utetezi ni kulitia madoa ukishindwa kulitia madoa mpaka mwisho wa kesi basi mtuhumiwa hufungwa. Lengo la kuita Mashadi ni kuja kuvunja ushadi wa jamuhuri na Ndiyo maana hata jamuhuri wakimuita shahidi akawageuka huwa wanaomba mahakama kuwa ushahidi wake wa kizimbani usipokelewe kwani amekua unfavourable shahidi unatarajia ajenge kesi yako ili usiwe na hatia lakini kitu ambacho akina Amani na Brenda Rupia wameshindwa kujenga kesi ya utetezi ndiyo maana kwenye Criminal case mara nyingi either Accused anasimama yeye tuu kama shahidi au akiita mashahidi basi wanakua wachache ili kuepuka mkanganyiko kwa sababu waendesha Mashtaka wana experience kuwa ya kupambana na kesi za aina tofauti tofauti

Sehemu ya Cross Examination ya Brenda Rupia

● KATUGA: Kama hukumpata aliyetaka kumpa sumu Lissu gerezani, ni kitu gani kilichokufanya utoe taarifa ya uongo?

🔴 BRENDA: Hiyo siyo taarifa ya uongo.

● KATUGA: Waambie Waheshimiwa Majaji, kwa kamusi ya Kiswahili neno linaweza kuwa na tafsiri zaidi ya moja.

🔴 BRENDA: Ni sahihi.

● KATUGA: Kwa hiyo, katika tafsiri hizo mbili, hakuna uhusiano wowote?

🔴 BRENDA: Hakuna.

● KATUGA: Unakubaliana na mimi kwamba maana ya neno inaweza kutofautiana kulingana na muktadha linapotumika?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Na katika kuelewa maana ya neno, ni muhimu kuangalia muktadha ambao neno hilo limetumika?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Kwa hiyo, Waheshimiwa Majaji, siyo kila neno linapotumika katika sentensi linakuwa na maana ileile inayopatikana kwenye kamusi?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Unakumbuka jana ulipoulizwa kuhusu maana ya kauli “No Reforms, No Election”?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Na ulieleza kwamba kauli hiyo ilikuwa na lengo la kudai marekebisho ya mfumo wa uchaguzi kabla ya uchaguzi kufanyika?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Kwa hiyo, lengo lilikuwa kushinikiza mabadiliko kupitia madai hayo?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Na siyo kwamba kauli hiyo ilikuwa na lengo la kutumia nguvu kubadili mfumo wa kisiasa?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Kwa hiyo, unakataa kwamba kauli “No Reforms, No Election” ilikuwa na maana ya uasi?

🔴 BRENDA: Ndiyo, nakataa.
 
View attachment 3667516

Haujaeleweka!
 
Mm nasema boss wako Bi.msumi ndio kamvisha kitanzi TAL.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwahiyo majaji wanachukua kipande hiko tu kati ya siku mbili zote alizokaa kizimbani kutoa ushahidi kugeneralize conclusion ya ushahidi ndugu wakili?
 
View attachment 3667516

Kesi inapoanza mfano wa Shati la Jamuhuri kuwa jeupe na safi kazi ya Mshtakiwa au utetezi ni kulitia madoa ukishindwa kulitia madoa mpaka mwisho wa kesi basi mtuhumiwa hufungwa. Lengo la kuita Mashadi ni kuja kuvunja ushadi wa jamuhuri na Ndiyo maana hata jamuhuri wakimuita shahidi akawageuka huwa wanaomba mahakama kuwa ushahidi wake wa kizimbani usipokelewe kwani amekua unfavourable shahidi unatarajia ajenge kesi yako ili usiwe na hatia lakini kitu ambacho akina Amani na Brenda Rupia wameshindwa kujenga kesi ya utetezi ndiyo maana kwenye Criminal case mara nyingi either Accused anasimama yeye tuu kama shahidi au akiita mashahidi basi wanakua wachache ili kuepuka mkanganyiko kwa sababu waendesha Mashtaka wana experience kuwa ya kupambana na kesi za aina tofauti tofauti

Sehemu ya Cross Examination ya Brenda Rupia

● KATUGA: Kama hukumpata aliyetaka kumpa sumu Lissu gerezani, ni kitu gani kilichokufanya utoe taarifa ya uongo?

🔴 BRENDA: Hiyo siyo taarifa ya uongo.

● KATUGA: Waambie Waheshimiwa Majaji, kwa kamusi ya Kiswahili neno linaweza kuwa na tafsiri zaidi ya moja.

🔴 BRENDA: Ni sahihi.

● KATUGA: Kwa hiyo, katika tafsiri hizo mbili, hakuna uhusiano wowote?

🔴 BRENDA: Hakuna.

● KATUGA: Unakubaliana na mimi kwamba maana ya neno inaweza kutofautiana kulingana na muktadha linapotumika?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Na katika kuelewa maana ya neno, ni muhimu kuangalia muktadha ambao neno hilo limetumika?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Kwa hiyo, Waheshimiwa Majaji, siyo kila neno linapotumika katika sentensi linakuwa na maana ileile inayopatikana kwenye kamusi?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Unakumbuka jana ulipoulizwa kuhusu maana ya kauli “No Reforms, No Election”?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Na ulieleza kwamba kauli hiyo ilikuwa na lengo la kudai marekebisho ya mfumo wa uchaguzi kabla ya uchaguzi kufanyika?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Kwa hiyo, lengo lilikuwa kushinikiza mabadiliko kupitia madai hayo?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Na siyo kwamba kauli hiyo ilikuwa na lengo la kutumia nguvu kubadili mfumo wa kisiasa?

🔴 BRENDA: Ndiyo.

● KATUGA: Kwa hiyo, unakataa kwamba kauli “No Reforms, No Election” ilikuwa na maana ya uasi?

🔴 BRENDA: Ndiyo, nakataa.
Usiwe kama Katuga anayechanganya Legal meanings na kiswahili dictionary meaning
Kutumia nguvu kuna maana nyingi huyo Katuga wako kaogopa kuuliza ni nguvu gani kati ya mabavu na ushawishi.
 
Tuchukulie lissu ananyonga unadhani huku mitaani mtaishije?
 
Hii Kesi no way Lissu atachomoka lazima tu ahukumiwe Jamhuri imeshaweka nia kitendo cha mahakama kumkuta na kesi ya kujibu hata angewaita mailaika waje kumsaidia hatoboi
 
Bila hata mashahidi hapo hakuna kesi, Lisu angekua na kesi kusingekua na story za maridhiano
 
Back
Top Bottom